Search results

  1. B

    Stand ya mkoa ubungo kuwa na mlango mmoja wa kutoka ni sawa?

    Jamani watanzania hivi hii stand yetu ni sawa kuwa na mlango mmoja tu wa kutoka magari au mpaka litokee balaa humu ndio tuanze kutafuta wa kumlaumu hata ukija alfajiri hapa wakati wa kutoka mabasi na abiria ni fujo tupu sasa je ikitokea tatizo humu ndani si maafa ya kutisha yatatokea hapa stand...
  2. B

    Muswada wa kukusanya maoni juu ya Marekebisho ya Katiba watinga Bungeni leo

    Naomba watanzania tufanye subira kilichopelekwa bungeni ni kuomba ridhaa ya bunge ili tuanze kujadili katiba mpya.
  3. B

    Paul mabuga- Tuongee asubuhi.

    Hata mimi mabuga nashindwa kumuelewa anaita watu studio halafu hataki wajieleze kwa kina kuhusu masuala wanayoyajua yeye anawakatishakatisha tu,naomba mwache mtu azungumze kwa sababu sisi watazamaji tunapata elimu pale kupitia hawa watu unao waita studio sasa wewe ndio unakuwa muongeaji kuliko...
  4. B

    Kikwete awataka wanasiasa wavumiliane

    mweshimiwa rais amesema kweli ni vizuri watu wakavumiliana lakini watumishi wa halmashauri zetu nao tusiwavumilie kwa ubadhirifu wa fedha za umma kama kamati ya bw mrema ilivyobaini wizi mtupu huko kilimanjaro watumishi wale wachukuliwe hatua mara moja ili iwe mfano na kwa wengine.
Back
Top Bottom