Search results

  1. C

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Hivi kwani inachukua muda gani kwa mbunge ugeni kuisha huko bungeni?
  2. C

    Mnyika apanda daladala!

    Ndio hilo lolote!
  3. C

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Mkuu Thanda jamaa anataka wanaopotoka kimaadili wawe wanarekebishwa pasipo kufukuzwa, sasa yeye mwenyewe aliyepotoka amejifukuza/amejivua uanachama mwenyewe si angewasubiri warekebishaji wa tabia mbovu waje wamrekebishe!
  4. C

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Mkuu, huyo Ben naona kawashika wenzake pabaya sasa kila mmoja anakuja kivyake kujitetea. Mimi naona Busara ni kwa watuhumiwa/wasaliti/masalia kukaa kimya na kila mmoja kutoa ushahidi wake au hayo malalamiko yake sehemu stahili na si hapa jukwaani.
  5. C

    Jinsi ya kujiunga na offer ya internet ya usiku vodacom

    Piga *149*01# halafu uchague 3 wajanja night offer! Ila uhakikishe una salio la Tshs 200.
  6. C

    Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Yaah! Retired wanakuwa wameshakula pension yao hivyo wanaona hawana cha kupoteza!
  7. C

    Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    Kwa lugha nyepesi alikuwa anajitukana mwenyewe, nywele anazo kufikiri ndo hawezi!
  8. C

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Mkuu speedy jaribu basi kupunguza speed ya lugha hiyo kali kwa rais wetu, ukumbuke humtukani yeye tu unatukana pia watanzania walio mchagua!
  9. C

    Kutoka bungeni... nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

    Teh teh teh, anafikiria hivyo hivyo alivyofikiria! Usipoteze muda wako mkuu na mtu kama huyo!
  10. C

    Yuko wapi Lusinde?

    Anamzungumzia ngumi moja tu kudadadeki!
  11. C

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Halafu anasema "Tumechoka" sijui wako na nani waliochoka teh teh teh!
  12. C

    Wanaoijua dar vizuri nisaidien kwa hili.

    Senetor uwe mwangalifu na hilo boom lako la mwisho mwisho maana maisha ya kitaa yanakungoja!
  13. C

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Kipepe-100%
  14. C

    DCI Manumba: Mwakyembe hajalishwa sumu!

    Mkuu MARQ nimekukubali kwa point namba 4! DCI alikuwa anaongea bila kujiamini!
  15. C

    Mitandao isitumike kumchafua Rais

    Mkuu samahani utakuwa unachanganya habari mzee wako kushambuliwa na maneno sio mpaka awe Rais na hata wasio kanyanga baa hatuwezi kujua kwanini hawakanyangi labda yawezekana waliwatambia hapo baa watoto wao ni vichwa na wakaahidiana kuonyeshana ktk matokeo! Kikubwa mkuu hapa si kumkashifu Rais...
  16. C

    YUKO wapi Dr Ulimboka Na mgomo wake...KAPOTEZA AJIRA?

    Mkuu FUSO huyo utoto unamsumbua akikua ataacha kufikri kitoto!
  17. C

    Madaktari 38 waondoka nchini

    Mkuu ulifanya uchambuzi yakinifu kwanini mwanao alitaka kusoma PCB? Na wewe ulimpa sababu zipi za Kusoma PCM? Maoni yangu kwako mwache mtoto afanye kile kizuri kinachotoka moyoni mwake na atafanya kwa mafanikio ya juu zaidi!
  18. C

    Madaktari live mlimani tv

    Maneno yako ya kweli? Siku ukidungwa sindano ya sumu ndo utajua sio waoga!
  19. C

    JK aapa kuwatoa kafara wala rushwa: ASEMA WAMEMCHOSHA, ATAKAYEKAMATWA ATAKUWA MFANO

    &lt;br /&gt;<br /> &lt;br /&gt;<br /> mkuu hapo kweli kazi ipo! Ila yeye hatokuwepo wkt unachaniwa kile kikaratasi cha njano kwa kosa hilo2 la weipa!
Back
Top Bottom