Search results

  1. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Majukumu yanajulikana na yanaonekana kila mechi na nilijaribu kuelezea kwenye post yako uliyouliza kuhusu kwanini ox na keita hawaanzi ila wakiingia wanaleta mabadiliko. hapa chini nimejaribu kuweka bandiko linalojaribu kujibu swali lako pia kutoka kwa Peter Crouch,Tafadhali naomba upitie...
  2. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    nafikiri wewe ndo unashindwa kuyaelewa majukumu ya hendo au unalazimisha majukumu yawe unayoyataka wewe.Nikuulize swali unasema hendo anacheza kama kuunganisha kati ya kiungo na front 3,je umeshawahi kumwona hendo yupo upande wa kushoto wa ushambuliaji? na je umemuona Gini mara ngapi upande wa...
  3. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwa uelewa wangu mimi klopp kwa sasa ana viungo wake ambao ni tried,tested, and trusted ambao wamecheza pamoja muda mrefu na wanaelewana kila mmoja mapungufu yao kwenye kuretreat na tayari wana record nzuri ya kushinda uefa na 97 points epl msimu uliopita na pia temeshinda mechi zote kasoro draw...
  4. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kaka mido zetu zinafanya cover full back weki ambao kwa staili ya livwr tunashambulia na kucreate kupitia wingbacks mbona lipo wazi hili....Gini/milner huwa wanacover rober na hendo wanacover trent huku wakifanya ball recycling ...ni muhimu pia kufuatilia na forums za timu zingine kujifunza...
  5. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kitu watu wabashindwa kuelewa ni kuwa wachezaji pro wanapewa majukumu na kocha uwanjani,na kama hafanyi vile anavyotaka kocha basi atakaa benchi ,kama timu itafungwa kocha atawajibika kwa hilo kwa sababu ni manager/head wa timu.Sasa liver ina 16 Hawataweza kukuelewa mpaka pale watakapojua kuwa...
  6. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    sawa kabisa mkuu,na kuongezea point nyingine pia...msimu huu tunacheza high defensive line kutokana na sababu mbili zifuatazo(IMO) 1. kuubana uwanjani uwe mdogo hii inasaidia pressing game(from the front line) kuwafanya wachezaji hasa middlefielders wasichoke kwa kucover short distance during...
  7. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kaka wak kaka wakati mwingine stats hazikuelezi kila kitu uwanjani,na kuna tofauti kubwa sana kuangalia mpira kwenye TV ,na kuangalia live uwanjani...kwa sababu mfano wanachokifanya gini ,hendo na firmino OFF THE BALL,huwezini kuona kwenye stats sehemu yoyote ile mpaka uwe uwanjani...na hapa ni...
  8. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    salah is so selfish, kuna mechi moja milner alimnyima kupiga penati akamindi,wakati kapten anataka kuseal ushindi ,yeye anawaza golden boot.Insane
  9. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kaka ukipata nafasi uwe una peruzi na forum za team zingine mara moja ili uweze kufahamu maoni zaid kuhusu wachezaji wako nje ya mapenzi binafsi yq liverpool..mfano chini spurs(thefightingcock.com)..wanamwogopa mane kuliko salah mancity(bluemoon.com)...ikikaribia mechi na wao akili ipo kwa...
  10. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kazi kweli kweli kwani ile fainali nzuri tuliyofungwa na real madrid tulifaidika na nini???jamaa hajui lengo si kufurahisha wapinzani...
  11. Mfatiliaji

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    jamaa humu washasahau allison alisainiwa kipindi gani?Ilikuwa baada ya pre season mechi mbili tatu hivi...sababu nataka kuwa access waliopo kwanza kabla ya kuamua kuwauza au mikopo tena?ypu give them second chances...sisi siyo city au chelsea wanasajili surplus to requirement afu hawatumiki...
  12. Mfatiliaji

    Kwanini VVD,Alison Becker na Salah na sio Bernardo Silva?

    mkuu umemkomalia sana salah, lakini kwa msimu huu mane yupo juu ya salah, achilia mbali hao VVD na Allison.
  13. Mfatiliaji

    Wakati Ulimwengu una mabilioni ya galaxies: Ilikuwaje Mungu akaumba mamilioni ya Malaika lakini akaumba binadamu 2 pekee kwenye Galaxy ya Milk Way?

    pole sana mkuu lakini nafikiri hii ni fizikia na hesabu kwa wingi sana sababu nadharia nyingi na zinahitaji hesabu na makadirio ya juu ili kuzithibitisha.
  14. Mfatiliaji

    Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

    sawa muhandisi, karibu sana.
  15. Mfatiliaji

    Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

    mkuu,kama bado unahitaji baadhi ya device kufanyia practical,ni PM just for free
  16. Mfatiliaji

    Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

    Kaka, Hawa wote uliowataja wametumia njia na kanuni za Newton, Sijui ni kitu gani dunia hii unaweza kukifanya bila kutumia kanuni za Newton halafu mkuu unasema jamaa alikuwa average ??
  17. Mfatiliaji

    Polisi yawaonya Viongozi wa Makundi ya WhatsApp. Yawataka kutoa taarifa kuhusu uhalifu utakaofanyika kundini

    Yaani end to end encryption kama sort of VPN link..it is very difficult for a third party to go through it
  18. Mfatiliaji

    Mliokua DUCE kwenye Usaili wa mchujo wa TPA pitieni hapa

    duuh kwa hali ile inaonekana practical itakuwa hatari sana
  19. Mfatiliaji

    Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

    Kwa ufupi Jiji la Mbeya lilikuwa linatisha sana kwa matukio...ila mambo yote yaligeuka historia baada ya kuwasili kwa kamanda Sanya. Big up sana kwa kamanda huyu.
Back
Top Bottom