Search results

  1. AirTanzania

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    JF wanafuata maelekezo kutoka juu, nimeshafutiwa sana na kufungiwa. JF wameshikwa na woga wa mtoto wa Dikitekta uchwara
  2. AirTanzania

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Katiba haisemi kuomba vibali, nionyeshe sehemu iliyoandiokwa kwenye Katiba.
  3. AirTanzania

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Ni sababu gani inayomfanya Magufuli kuyaogopa maandamano ya Mange Kimambi. Kiukweli haya maandamano yanayozungumziwa kwenye mitandao ya kijamiina hasa kwenye Instagram ya huyu Mwanadada Mange pamoja na kwenye magroup ya Telegram inaelekea yanamyima usingizi na amani huyu Magufuli na Bashite...
  4. AirTanzania

    Nchi 5 zenye jeshi imara afrika Tanzania haipo pamoja na sifa zote wanazojipa

    Kwani umeambiwa wataandamana na kubeba silaha? hebu to ujinga wako. Ukiwa mwanachama wa ccm unakuwa huna akili kabisaaa.
  5. AirTanzania

    TISS, shirika bora la kijasusi Africa.

    Tiss ni shirika la kijinga halijawahi kutokea, lipo kwa maslai ya CCM. Sijui kwanini linaitwa usalama wa taifa, liitwe usalama wa ccm. Huyo Yeriko ni wakupuuzwa muda mwingine
  6. AirTanzania

    Rick Ross kalazwa hospitalini huko Miami na yupo kwenye life support

    Vipi yule mgonjwa wenu wa Ukimwi mlie mpeleka India kubadilisha damu anaendelea nae? Naona Bunge limekuwa kimya sana kuhusu afya yake huko India
  7. AirTanzania

    Maajabu: Kichwa cha treni kilichookotwa bandarini ndio kimepata ajali Kigoma. Hivi kumbe walishanunua kimya kimya?

    Hawezi na hawajui watu wasiojulikana huko Lumumba na Magogoni watakavyomfanyia au kumteka.Return Of Undertaker Ogopa sana CCM unataka tukuokote Coco Beach kabla ya tarehe 26 mwezi wa 4?
  8. AirTanzania

    Padri Damian Dulle: Kanisa Katoliki latoa wito wa kufufuliwa kwa mchakato wa katba mpya

    Kanisa linatafuta ugomvi na Dikitekta uchwara, ngoja kwanza awatumie Uhamiaji na TRA. Wakishindwa hao watatumiwa watu wasiojulikana . Dikitekta anakila aina ya mbinu ya kuliangamiza hili Taifa yeye na Rafiki yake Uchwara Kagame
  9. AirTanzania

    Katibu wa Bunge: Hali ya afya ya Spika Ndugai inaendelea vizuri, kurejea nchini wakati wowote

    Spika wenu ana ukimwi haponi kwa duwa, aendele kutumia ARV ajinenepee tu. Kila Siku tunaomba Mungu ampende.
  10. AirTanzania

    Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    tuwekee namba za simu tuwasiliane, unauza nyumba halafu unafanya siri
  11. AirTanzania

    Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    Hebu wacha biashara za ujanjajanja kama upo serious basi weka namba zako za simu sio maneno. Na picha za ndani ya nyumba sio nje
  12. AirTanzania

    JWTZ yaandaa mazoezi ya kijeshi ya pamoja EAC

    Magaidi wanawalinda wapo Ikulu, JWTZ ni jeshi la CCM. Lipokimaslai zaidi. Viongozi wake wote wana kadi za CCM na wanazilipia. Wakistaafu huko wanakuwa wakuu wa Mikoa na wilaya, wengine wanapewa mpaka nafasi za ubalozi. JWTZ wanakula mpaka pesa za UN za wanajeshi wadogo wanaopelekwa Kulinda...
  13. AirTanzania

    IGP Sirro: Tumetuma makachero Nairobi kumhoji Lissu na dereva wake

    Baada ya Miezi mitatu ndio mmeenda jana kumuhoji, Hiki kikundi cha Green-guard au Policcm ni wakuupuzwa.
  14. AirTanzania

    IGP Sirro: Tumetuma makachero Nairobi kumhoji Lissu na dereva wake

    Baada ya IGP wa Rwanda kuja kumpa maelekezo
  15. AirTanzania

    IGP Sirro: Tumetuma makachero Nairobi kumhoji Lissu na dereva wake

    Walikuwa wanasubiria maelekezo kutoka Rwanda, Inavyoelekea Sirro alipata maelekezo kwa IGP wa Rwanda. Poor Kamanda wa Policcm Sirro zee la kuongea uongo kila linapofungua domo lake.
  16. AirTanzania

    CUF ya Lipumba Yatoa Ufafanuzi Baada ya Mbunge Wake Kuhamia CCM

    Professor uchwara akitekeleza majuku ya Dikitekta uchwara
  17. AirTanzania

    Tumeshindwa Tunalazimisha kukubalika kwa Nguvu

    Kama CCM inakubalika kwa Watanzania, kwanini inaogopa kutupatia Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
  18. AirTanzania

    Sina hamu ya kufanya mapenzi

    kama una miaka zaidi ya 40 ni kawaida, ila kama upo chini ya 40 basi utakuwa na matatizo
  19. AirTanzania

    Polisi, TCRA wazungumzia akaunti ya Mange Kimambi

    Policcm wa wanadhidi kujidalilisha, badala ya kujikita kwenye mambo ya muhimu wao wamejikita kwenye udaku.Polisiccm nao wanafuatilia udaku wa Mange, Poor Policeccm walioshindwa kuwakamata watu waliotaka kumuua Lissu wataweza kumkamata Mtu aliye US? Huyu Mzee wakitengo cha propaganda cha Policcm...
Back
Top Bottom