Search results

  1. makete

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Mimi naona 3 ndio mpango mzima sina chakuongeza mengi yameshasemwa na wenzangu
  2. makete

    Kwa madereva, tunaomba jibu!

    Gari ya kwanza kupita ni C ikifuatiwa na B kisha A atakua wamwisho kupita
  3. makete

    Usiweke simu yako ya mkono chini ya mto inadhuru ubongo wako

    Asante kwa kunielimisha maana na mm ni mmoja wa wanaolala na simu
  4. makete

    KAMA wewe ni mtanzania wahi kitambulimbulisho cha utanzania

    Mbona majanga kwa mm nilieko sinza maana sijawaona! Sent from my BlackBerry 9650 using JamiiForums
  5. makete

    KAMA wewe ni mtanzania wahi kitambulimbulisho cha utanzania

    Mkuu Kwasasa wamefika eneo gan?i maana wengine hatuna taarifa tusije pitwa! Sent from my BlackBerry 9650 using JamiiForums
  6. makete

    Mambo gani yaliyokuvutia ukashawishika kumu aproach mwenzi wako

    uzuri wake na jinsi anavyojiweka msafi wakati wote.
  7. makete

    Toa Maoni

    Wanasema kwamba "upande mti kisha ndipo ukae mti" je upande nn ili ukate kiuno?
  8. makete

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Chadema tunaanza na Mungu na kumaliza na Mungu.
  9. makete

    Rombo kama Loliondo!

    Sasa tumwamini yupi maana tiba inaonekana kua ni njia yakujipatia umaarufu na pesa kwa njia rahisi. Jamani tuwe makini na watu wanaozuka nakujitaftia umaarufu maana kama dawa ya nabii ingekua inafanya kazi kati ya hao watu 100 tungukua tumeshapata ushuhuda kamili juu ya tiba yake
Back
Top Bottom