Search results

  1. W

    vijana ccm kwanini msijifunze kutoka kwa vijana wa chadema km wazazai wenu

    Vijana ni vijana wa ccm na chadema.Tofauti ni kwamba wa Chadema ni waheshimiwa na wanaongea lugha ya wananchi wote (+waliokomaa kifikra).Vijana wa chadema wanafanya vitu practical na wakiongea baba zao wa ccm wanatamanani kuendelea wasikiliza wakijidai kutaka jibu hoja ila ni kujifunza kwa...
  2. W

    CHADEMA kitafilisika kwa mtaji wa fahari ya macho

    good...mind provoking post.
  3. W

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Umewahi ulizia hili? sheikh Amri Abeid Aman Karume? Wel, unaweza dai zanziba ni nchi ya kiislam but kuna wakristo ambao hawajawahi kuwa waislam kwa vizazi na wala hawatakaa wawe waislam maisha yao yote.
  4. W

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Nadhani angewakataza Loliondo na Sasa kaongezewa Tabora...as hapa ndipo patakapowapa shida kutoa majibu ktk mahubiri waliyoyazoea
  5. W

    Wachina wanashushushu mitandao ya simu inayotumia Huawei

    karibu yote inatumia kwa zaidi ya asilimia kubwa .
  6. W

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    By the way waislam kuandamana kudai wanachoamini kuwa haki (100%)+ kuichukia Bakwata( (100%)= mufti kutosikilizwa aka kupuuzwa(100%) CCM wana hali mbaya kila anayewatetea(okoa roho zao) anawaangamiza zaidi.
  7. W

    Muhidini Issa Michuzi Huu Sasa ni Uhuni!

    Blog yake haipo proffessional.Nadhani network imemsaidia sana kupata matangazo kibao hadi yamejaza sehemu ya juu yote na kuifanya very heavy and haivutii. Hii ndio bongo ila soon hivi vinetwork vya kijinga visivyo na watu wenye vichwa vitakufa CCM ikiondoka. Jamaa na umaarufu wake katika picture...
  8. W

    Taasisi gani ni sehemu ya ukandamizaji raia Tanzania wa CCM.Tuanomba files

    Taasisi gani ni sehemu ya ukandamizaji raia Tanzania wa CCM.Tuanomba files ili tuwe tunaangalia kwa makini matamko ya vioongozi wao.
  9. W

    Uvccm wamempa rostam aziz kazi ya kuleta mabadiliko ccm

    Wakwere wajinga nadhani hata mshenga wa presidaa anatafunwa na mshenga.Kajamaa km kahindi ukikaleta kazini basi wewe ndio mkuu kuliko bosi.****** naye kachuckua huu ustaarabu rostam alikaweka basi hakana ujanja
  10. W

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Sasa km jamaa hana mwenyeji atafanya nini?Anaona ni bora afe vitani pengine kuna wapumbavu watakuja na historia ya kupika kama ya kwetu.HATA SADAM HADI DAKIKA YA MWISHO ALIKUWA ANASEMA ATASHINDA.
  11. W

    Wahadhiri waeneza siasa za chuki vyuoni

    Masikini CCM. Nadhani kwa wabunifu hapa kuna dili. Ukiweza pika data ktk research angalau wapate mtu mmoja ambaye ataitwa adui wa dini/No chama mradi awe adui wa mafisadi uweke na vi eveidence kidogo ambavyo kwa uwezo wao hawawezi shtukia unaukata. Usishangae hotuba ya Rostam dhidi ya Mengi...
  12. W

    EU: CHADEMA funding claim a lie

    I am blessed to be non-sisi mafisadi.I new they would never make it out of the hook...Chadema cha wakatoliki, mbowe ni Lutheran,Kikristu-Zitto si mkristu. Wanaokea ufadhili wa nje.....wameejielekeza where chadema wont use much force to kill them....Nashangaa wanapoteza muda fuata chadema huku...
  13. W

    KIKWETE: Badala ya kuchagua mameneja wazuri tunachagua makada

    atafanyaje na hapo ndipo cdm wamewashikia kooni. By the way kachanganyikiwa km wenzie anaongea asichokijua kwa vile hana muda wa kufikiri the world is moving so fast
  14. W

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Ngoma inakuja kwa wale waliojenga utajiri wa kufa mtu Ukanda wa Afrika mashariki, kwa bidii zao bila ajira ya serikali ya bongo....[shirika landege precissiopn air][mabasi dar express].[Baa ya Mchagaa][duka la mchaga] [guest house ya mchaga] wakwere msijenichukia nishauri mchaga afunge guest...
  15. W

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Haha... its funny the whole bunch of CCM/UVCCM cretins cant beat Sitta... Kazi kubwa wamefanya bure kawamaliza kwa maneno machache...hawa ndio viongozi wa kesho wa CCM hawawezi hata kuja na Idea mpya zaidi ya huyu mzee Sita. Hapa ndipo ninapowapenda vijana wa CHADEMA wao huto version moja...
  16. W

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    I guess wewe si msomaji wa Biblia ila umechukua coverup pia hujamsikiliza Babu...babu alisema kuwa dawa yake si kinga so ukienda kumess up tena utapa matatizo tena(pengine akusema ukubwa wa tatizo likijirudia). .Yesu pia alifanya maajabu kwa kutumia vitu.alitema Mate na kutengeza tope akamponya...
  17. W

    Kwa wanaoagiza magari kutoka Japan kuweni makini!

    Weldone kaka...by the way CCM bado wamelala...na makamu wa rais si kasomea nuclear physics? ila na hilo hakuweza think faster...oh no..wanasumbiri chadema waseme ndio waamke na kweda kupindua hoja(iwe yao, au waikatae kabisa). by the way wanadhani babu atatibu tuu.
  18. W

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Buy The time wankubaliana serikali ilikuwa hoi ktk maendeleo ya nchi......asilimia kubwa ya shule na hospital za rufaa, vituo vya mayatima, vituo vya kutibu vilema, etc vilikuwa chini ya makanisa...ki msingi nchi ilikuwa inatunza na makanisa. Sijui unajiuliza unakoabudu kwanini wamekosa kitu km...
  19. W

    Tamko la Ikulu juu ya Richmond

    sidhani kama tuna cha kuamini when it comes to viongozi wetu, tafiti zetu, na ujinga mwingine unaopangwa ofisini kwa rostam na kusikika ikulu.Rostam sijamsikia tena kuhusu Loliondo..
  20. W

    Nani aijenge na kuipigania Tanganyika kama siyo Watanganyika!?

    Slaves cant think anywhere nearly to a free man..Zanzibar are slaves in lots of things.Including "..Mentally..". Barbarism will never end there.They are fighting for an empty land...which needs more foreigners to develop.. next time naenda chukua karafuu naotesha ktk mapori then wakajiriwe kuwa...
Back
Top Bottom