Search results

  1. Kichumi

    Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

    Hawa MATAGA walidhani kila aliyekuwa akimkosoa Magua alikuwa ana issue naye binafsi. Magu alikuwa kiongozi mkandamizaji sana na mbaguzi hilo lipo wazi
  2. Kichumi

    Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

    Weka akiba ya maneno. Magufuli alikuwa na majitambo kama haya. Leo siku ya pili yupo ndani ya kaburi. Ila hesabu za CAG inaonesha ameikagua pia CHADEMA. Chama mfu kinakaguliwa mahesabu yake?
  3. Kichumi

    Mimi ndiye mwasisi wa msemo "HAPA KAZI TU"

    Hivi mataga wanaweza kujua wenzao ambao ni wajinga?
  4. Kichumi

    Sifa za mwendazake na hali halisi..

    Nakubaliana na wewe 💯💯
  5. Kichumi

    Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kujenga reli ya kisasa pamoja

    "Mapema 2020" maana yake nini? Hili ni jibu la kisiasa. Hata leo ni "mapema 2020"
  6. Kichumi

    Jangwani hapapitiki kuna mafuriko

    Tangu mimi nakua hapo Jangwani kila mwaka panatokea mafuriko na hawawezi kufanya chochote. Halafu hawa ndiyo watu wanaota watatupeleka kwenye uchumi wa viwanda...labda uchumi wa viwanda vya kufyatua watoto Halafu mtu mshipa umemtoka anataka kupambana na USA. Pambaneni kwanza na mafuriko hapo...
  7. Kichumi

    BBC News: Tanzania MP Zitto Kabwe gets death threats over World Bank loan

    Hawa wajinga wanadhani watu bado wako zama za mawe. Sasa hivi kila ujinga wao utaanikwa hadharani hadi wajifunze kuishi kwenye dunia ya wastaarabu
  8. Kichumi

    Zitto shujaa wangu wa Taifa!

    https://www.bbc.com/news/world-africa-51355148
  9. Kichumi

    Hii picha kila niitizamapo moyo hupata maumivu. Nini ilikuwa hatma ya huyu kijana?

    https://www.jamiiforums.com/threads/kampeni-ccm-ndugai-ampiga-mgombea-mwenzake-azimia-na-kukimbizwa-hospitali-huko-kongwa.894815/
  10. Kichumi

    Balozi wa Marekani ama Pompeo atumiwe hii

    Hebu tuma na ya Nagasaki pamoja na Seoul
  11. Kichumi

    Msaada-Nairobi fly kaniharibu ngozi shingoni

    Paka spirit taratibu ili ukipona usibaki na alama
  12. Kichumi

    Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ataka waliolima Bangi waruhusiwe kuiuza

    Haya ndiyo mambo ccm wanayopenda kuongelea. Nchi imewashinda sasa wanataka kilimo cha bangi kihalalishwe ili vijana wavute bangi October waichague ccm kwa akili za kibangi bangi
  13. Kichumi

    Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

    Sema wana akili za kukariri. Wana akili nyingi wamefanya ugunduzi gani hapa Tanzania?
  14. Kichumi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Ni aibu kuwa na rais anayefuatilia na kujua mambo ya vyumbani kwa wateule wake lakini hajui mtu anayenyima haki raia wenzake kuishi.
  15. Kichumi

    Singida: Madaktari vijana watuhumiwa kuwatongoza wagonjwa wasichana na wanawake

    Haya ni matatizo yanayotokea masuala ya taaluma yanapotaka kuamuliwa kisiasa
  16. Kichumi

    Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

    Maneno kama haya ndiyo yanasababisha watu waone ccm ya sasa na magufuli ni wakabila na wanaopendelea kanda yao
  17. Kichumi

    Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Magu lazima awatose Wapalestina. Hilo linajulikana mbona. Wayahudi ndiyo wamempa mitambo ya kudukua na waziri wao wa Ulinzi ndiye alikuja kukamilisha deal
Back
Top Bottom