Search results

  1. Mtimba

    Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

    Azam kweli tunajuta, pesa ikiisha wanazuia hadi radio. kuna channel haziwahusu tunaziweka wenyewe kwa matakwa yetu nazo zinazuiwa
  2. Mtimba

    Familia zilizopoteza wapendwa wao na walionusurika ajali ya MV Nyerere kulipwa Tsh milioni 1

    Hivi vyombo uwa havina bima? Nafikiri bima ndiyo uwa inalipa fidia kwa vyombo vinavyosababisha majanga
  3. Mtimba

    Ni kweli Tanzania na hususani CCM bado inaendeleza , inasimamia na kutekeleza Itikadi ya Ujamaa

    Tumechoka na haya matamko, karibu tv zote zinafanya kinyume na vile tuliambiwa wakati tunahama kwenye analogia. Sasa cha muhimu hao TCRA wachukue hatua maana tulishalalamika sana kupitia njia ambazo tuliambiwa tutumie kutoa malalamiko, na pia TCRA watoe elimu ili kila mtu ajue kwamba kile...
  4. Mtimba

    Wachezaji wanaotokea mkoani Mara

    Nico Bambaga
  5. Mtimba

    AZAM TV nawahama kwa kweli

    Niko Musoma
  6. Mtimba

    AZAM TV nawahama kwa kweli

    Nitapata wapi nami hiki king'amuzi? maana haya malipo ya kila mwezi ya azam kwa sisi wa hali ya chini ni shida
  7. Mtimba

    Musoma: Tujikumbushe 1980 - 1990

    Kulikuwa na mweu anaitwa mungu baba, mlima mkendo kulikuwa na panya buku kule makoko tuliamini kuna mtu anaitwa mitwe birwi anachinga watu
  8. Mtimba

    Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

    Majita katika kijiji kinaitwa Busekela kuna mlima unaitwa mtiro ndiyo mrema mrefu kupita yote mkoani Mara
  9. Mtimba

    African Satellite World and Sat Gear

    add me to whatsapp +255754917187
  10. Mtimba

    Uzinduzi wa daraja la Kigamboni na kisa cha dharau za wanafunzi wa Afrika Kusini

    wewe naye ulisoma nini chuo hata haujui Afrika kusini ilipata uhuru lini
  11. Mtimba

    TFF hili tatizo hamlioni

    Mechi kati ya Toto na Simba kwenye uwanja huo ilichezwa katika hali mbaya zaidi kuliko hii unayoiongelea lakini wakati ule hatukukusikia ukishauri
  12. Mtimba

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Niunganishe 0754917187 tafadhali
  13. Mtimba

    Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

    wakati Azam wanaanza kutoa huduma walitoa na vipeperushi wakionyesha channels za bure na za kulipia lakini jambo la kushangaza baada ya muda wa malipo kuisha na wiki tatu kupita walikata hata zile walizotuambia kwenye vipeperushi ni bure! sikuelewa wapi nipeleke malalamiko maana ilikuwa kama...
  14. Mtimba

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Tunaenda kwenye wakati mgumu sana kama hatutaweza kuwambia watawala ukweli hata kama unatuumiza sisi wenyewe
  15. Mtimba

    TCRA: Dstv na local channels za bure Tanzania

    Azam sio bure, wewe una miezi miwili tangu ununue subiri miezi mitatu halafu rudi hapa utuambie
  16. Mtimba

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Ndugu nashukuru sana kwa elimu mnayotoa, mimi niko Musoma na natumia dish na king'amuzi cha azam. Uwezo wa kulipa kila mwezi haupo maana Azam hamna channel za bure usipolipa tu hata zile wanaita za bure wanafungia! Naomba kueleweshwa kama naweza tumia king'amuzi hiki nje ya mtandao wa azam na...
  17. Mtimba

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 28 Machi 2014 - Maamuzi ya Bunge Kuhusu Kanuni za 37 na 38

    Mambo yatakuwa magumu sana kwenye kupitisha Ibara za katiba! Natabili kuwepo kwa rushwa kubwa tu maana ratio hapo tu inaonyesha ugumu huo utapataje 2/3 kwa kila upande?
  18. Mtimba

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Bwana Lunyasi unapobonyeza ok kitakachoonekana ni list ya channels na juu kabisa heading itakuwa Azam channels,baada ya hapo ndio bonyeza vol na utaziona,other channels ukibonyeza tena utaona radio tena unarudi mwanzo,
Back
Top Bottom