Search results

  1. toghocho

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bet 365 website yao iko chini au mimi ndo nna shida kupata This site can’t be reached www.bet365.com took too long to respond.
  2. toghocho

    Nina shahada ya Education, naweza kusoma Postgraduate ya Kilimo

    Kwa bachelor yako ya Education unaweza kusoma post graduate yoyote mkuu
  3. toghocho

    Trump mbele kwa mbele, nani atahama Marekani?

    [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  4. toghocho

    Kuagiza gari Vs kununua yadi hapa bongo

    bajaj TVS ni 6.9M up to 7.5 M
  5. toghocho

    Naomba kujuzwa kwanini marehemu anaombewa?

    kamuone Mbiku atakusaidia
  6. toghocho

    Huenda ipo siku tukajikuta tunasema Bora hata Kikwete!

    HUU UZI KAMA MAONO YA LEMA
  7. toghocho

    Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    ENZI ZETU TUNASOMA KIPIGO KILE MBONA TULIKUWA TUNAGONGWA NA HATA HATULII
  8. toghocho

    Nisaidieni kujua lengo la huyu binti wakuu.

    Njaa zote hizo bado una uwezo wa kupost Jamii forums.. interesting
  9. toghocho

    Napinga Makao Makuu ya nchi kuhamia Dodoma

    Hivi Uganda wako karibu na bahari ya sham eeh! Malawi ni Atlantic nadhani
  10. toghocho

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    hizo video zote mbili ni series,kitwanga anaongea bila ushirikiano, na ni siku mbili tofauti, wakati tofauti,lakini presentation ni the same to me dizaini kama jamaa ndivyo alivyo, ya bajeti na hiyo hapo chini hazina tofauti except labda bajeti ilikuwa read-only, otherwise niambiwe zote alikuwa...
  11. toghocho

    Ni Nidhamu ya Woga au Woga wa Kinidhamu?

    mkuu uliniquote kwa bahati mbaya au ulilenga kunijibu maana hakuna sehemu nliyosema kuhusu unyapara au kitu chocjote ulichokitaja.
  12. toghocho

    Tanzania ya Magufuli na viwanda, ''Nchi ya kufikirika''

    Umesahau kupangiwa bei ya bidhaa eg sukari tshs 1800 kila mfanya biashara anataka nguvu ya demand and supply hizo involvement zq govt ,sijui...tumpe muda
  13. toghocho

    Ni Nidhamu ya Woga au Woga wa Kinidhamu?

    Ukifanya kazi kwa kuogopa kukutwa,kutumbuliwa etc ubunifu uko wapi?maana kila mtu anaogopa kukosea, I for one, sipingi kulikuwa na utovu mkubwa wa nidhamu kwa watumishi wa serikali (na some private institutions) lakini kuna njia nyingine za kusolve issues than kulazimisha watu waogope kufanya...
Back
Top Bottom