Search results

  1. C

    napiga hodi

    karibu sana jamvini,jitahidi usome kanuni za humu ndani.
  2. C

    Kadi yangu ya CCM niifanye nini?

    kuna umuhimu wa kufanya mapinduzi ndani ya CCM ili wale mafisadi wote waondoke.
  3. C

    Gazeti la majira linapogeuka ""ijumaa"",""sani"";aibu

    napata harufu ya udaku kwa mbaliiii :focus:
  4. C

    Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

    pia tambua uwepo wa wadada walio safi kimatendo ambao waliingia vyuo na kumaliza bila kubadilika. pia kemea na wanaume wenye tabia za kubadili wasichana kama nguo.mtu anakuwa na msichana wa chuo,jimama la kumuweka mjini nk.
  5. C

    Hivi NCC inatambulika?

    jibu lajitosheleza vya kutosha
  6. C

    Bank ya NMB inahitaji pongezi kwa kuepusha migomo na machafuko nchini

    duh! ni usingizi umekubana au?
  7. C

    Zitto kugombea urais 2015?

    tusubiri muda ufike maana sasa ni mwendo wa tetesi tu
  8. C

    Sasa ni Zamu ya Wazanzibar...

    mmeanza tena kuleta chokochoko. si ajabu unatumiwa wewe jamaa
  9. C

    Mishakaki ya Paka

    kuna watu wanastahili kufungwa maisha. watanzania tuwe makini na nyama kama hizi.ni bora ukanunua nyama buchani ukaenda choma nyumbani
  10. C

    Kardinali Pengo: Kanisa litasema kweli bila kuogopa gharama!

    wapendwa punguzeni ukali wa maneno.huku tuendako si kuzuri kama viongozi wa dini watakuwa wanatoa kauli tata kwenye jamii.
  11. C

    Kwa siku unakula sh ngapii???

    jitahidi kujipikilisha. nunua maandazi ukanywee chai kazini. mchana piga desh usiku nunua mihogo ya kuchoma hapo utakula buku kwa siku
  12. C

    piiiii piiii piii

    asante kwa kunikaribisha
  13. C

    piiiii piiii piii

    hahahhaahahaaaaaa....nashukuru kwa kunifungulia mlango
  14. C

    piiiii piiii piii

    anyone home?
Back
Top Bottom