Search results

  1. nzalla

    Msaada windows 8

    Wadau wenzangu wa jf natafuta cd ya windows 8, mwenye nayo naomba anisaidie kuipata. Hata kama kuna gharama ya kuchangia nitajitahidi nichangie.
  2. nzalla

    Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

    me nakumbuka nilipigwa kibuti na demu wa kwanza kutongoza nikiwa form 1. alinifanya niogope vibuti sana mpaka leo hii kwa sababu ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kutongoza na kupigwa kibuti hapohapo. baada ya hapo nikawa nikitongoza demu na akinikubali na kuingia naye kwenye relationship nakuwa...
  3. nzalla

    Kutakuwa na faida gani kurudisha JKT?

    kama asinge fata hiyo biskuti na soda yangemkuta hayo!! tatizo tamaa ndio ilimponza.inamaana hakujiuliza kama alikuwa kaka yake kwa nini asingepewa hivo vitu kwenye public places walizokuwa wanakutana kila siku mpaka akampee chumbani kwake. kweli tamaa ni upofu, na dada zetu wengi wameshapofuka...
  4. nzalla

    Kutakuwa na faida gani kurudisha JKT?

    still tunahitaji kuwa na jkt kwa sababu naamini wananchi wake watakuwa wakakamavu na watakuwa wamejengewa ujasiri wa kupigania nchi yao.leo hii mgambo tu wakitisha kidogo watu wanakimbiaana na kujificha. je ukitokea uvamizi wa kigeni wataweza kupigania nchi yao kweli! tuacheni kuponda ujio wa...
  5. nzalla

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    wabunge wa ccm ni wapuuzi, wananchi wamewachagua kwenda kuwawakilisha kwa kutetea masllahi ya wananchi na taifa kiujumla badala yake wao wanakwenda kutetea upuuzi wa serikali na kupinga hoja muhimu za wapinzani zenye manufaa kwa taifa letu kwa kulaghaiwa na posho zinazotokana na jasho la...
  6. nzalla

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    dah! mashbki wa gunners kwa majungu siwawezi.
  7. nzalla

    Nyimbo nyingine kupiga club ni hatari...

    habari za mama znahuska nn humu! acha dharau na mama za wa2.
  8. nzalla

    Wapenzi wengi wa Bob Marley wanavuta bangi?

    kwahiyo unamaanisha hata mashabiki wa 20% nao wanakula bangi kisa yy anatumia!! rekebisha kauli kabla hatuja ku ban
  9. nzalla

    Star times, ting na DSTV zinachakachulika

    wakubwa angalieni hilo jina la mtuma post alafu mtafakari kwa nini haja weka hayo mavitu
  10. nzalla

    Nyimbo nyingine kupiga club ni hatari...

    hana sound hyo! alitegemea ataopoa tu bila kuchombeza.
  11. nzalla

    St. Marry Mazinde Juu iko juu

    umeulizwa! acha unafiki wewe!
  12. nzalla

    St. Marry Mazinde Juu iko juu

    wameanza umewaona enhee!!
  13. nzalla

    St. Marry Mazinde Juu iko juu

    lushoto hiyo.
  14. nzalla

    Jamani Mapozi

    mwenyewe anajua katundikwa huku! tizameni mambo ya copyright wakubwa.
  15. nzalla

    ...dude wa bongo dsm umenena yaliyo mema..........

    big up dude, ma self i hate dat gal! she started nicely but now days sez worst
  16. nzalla

    Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

    ushauri gani kwa dogo ww! KUBWA ZMA HOVYO
  17. nzalla

    Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

    dogo acha upuuzi kwanza nenda shule ndo ujianike kwny magazeti
  18. nzalla

    Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

    dogo acha upuuzi kwanza nenda shule ndo ujianike kwny magazeti
  19. nzalla

    Mmmh tanua kidogo!!

    wa kulaumiwa huyo aliye iupload
Back
Top Bottom