Search results

  1. W

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Kumbe Shangazi anaishi Kenya siku hizi? Hii connection ni kali
  2. W

    Tetesi: TAKUKURU, TISS wadaiwa kuchunguza rushwa ya Wizara ya Nishati kwa Wabunge

    Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita. Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake...
  3. W

    Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania - NGOs

    Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania - NGOs * Wampongeza kwa uongozi wa kimageuzi Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema kuwa...
  4. W

    Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua

    Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua * Asema watu wazima, watoto walimkimbia kutokana na maradhi yake ya ajabu * Amwaga shukrani kwa Rais Samia kugharamia matibabu yake na kumpa nuru mpya ya maisha Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIJANA Hamimu Mustapha...
  5. W

    Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge

    Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge * Ni baada ya mkataba wao kufutwa bandari ya Dar es Salaam * Kampuni ya PR ya Capital Plus yapewa kazi kuisafisha TICTS * Wapanga uhujumu wa huduma za makontena bandarini baada ya kuenguliwa WAZIRI mstaafu Nazir Karamagi na mfanyabiashara Yogesh...
  6. W

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  7. W

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Alishasema juzi Serena, anafanya haya kwa maslahi ya taifa.
  8. W

    Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Sidhani... kwa Tanzania hii shamba la bibi? Hajiuzulu mtu, hafikishwi mtu mahakamani. Life goes on, business as usual. The state has long been captured by corruption
  9. W

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Ndiyo maana hizo tuhuma kuwa mabosi wa Vodacom wamepewa rushwa huenda ni kweli. Wewe umegundua mtu kafanya fraud na kuiba shilingi bilioni 675 halafu unamlipa fidia baada ya kuvunja naye mkataba badala ya kumpeleka polisi. Hii ni kesi ya jinai wazi wazi
  10. W

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Asante mkuu kwa kutuwekea documents nyeti. Haya maelezo ya Vodacom yamenifanya nielewe vizuri jinsi watu walivyoiba mabilioni kwenye wizi huu
  11. W

    Maajabu makubwa ya prof.Muhongo

    Kwa mujibu wa mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Prince Bagenda, licha ya kuandamwa na #TegetaEscrow , Prof. Sospeter Muhongo ndiye aliyekuwa kiongozi bora wa 2014 baada ya kuwezesha wizara yake kufikia malengo kwa zaidi ya asilimia 90. Hii inatokana na Muhongo kusimamia kazi kubwa ya usambazaji...
  12. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Umekwenda nje ya reli, Mzee Mengi anasema kuwa ni UONGO kuwa Tanzania itafikia kuwa nchi ya pato la kati ifikapo mwaka 2025, hiyo ndio hoja. Hiyo maada unayoleta wewe ni mpya, kuwa hilo pato la taifa likiongezeka litanufaisha vipi Watanzania?
  13. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Pole mkuu, habari kamili hii hapa: EAC States to rebase their economic data by 2015 end By ALLAN OLINGO, The EastAfrican Posted Saturday, October 4 2014 at 14:31 Tanzania plans to revise its GDP data later this year, which may increase the size of the $33 billion economy by a...
  14. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Nchi zote za EAC zimekubaliana tena ku-rebase GDP zao mwaka huu 2015 na hii itagharimiwa na World Bank na IMF ili ziweze kwenda sambamba. Kwa taarifa yako, rebasing ya GDP ya Tanzania ya mwaka jana ilitumia mwaka 2007 kuwa ni base year kutoka mwaka 2001. Rebasing ya mwaka huu itatumia 2010 au...
  15. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Huu ushahidi tuuhifadhi, baadaye mwaka huu au mwakani Tanzania ikifikia lengo la kuwa nchi ya uchumi wa pato la kati tumuulize Mzee Mengi nani muongo:
  16. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Huu ushahidi tuuhifadhi, baadaye mwaka huu au mwakani Tanzania ikifikia lengo la kuwa nchi ya uchumi wa pato la kati tumuulize Mzee Mengi nani muongo:
  17. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Angola wako mbali sana kulinganisha na sisi. Per capita income ya Tanzania ni $977 wakati Angola ni $3,900 kutokana na mafuta. Uchumi wa gesi ukipamba moto Tanzania kuanzia miaka 5 ijayo na sisi tutapaa. Soma: Angolan per capita income rises by over 500 pct between 2000 and 2013 | Macauhub English
  18. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Haswaa rebasing of GDP haifanywi hovyhovyo, inafanywa kwa usimamizi wa IMF na World Bank. Mwaka jana Tanzania imefanya rebasing na kutumia mwaka 2007 kama base year kutoka mwaka 2001. Wizara ya Fedha imesema mwaka huu 2015 nchi zote za EAC zitafanya GDP rebasing ili uchumi wa nchi hizi uwe na...
  19. W

    Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    Mzee Mengi hapo amekosea. Anaonesha anaendeshwa na chuki binafsi na Prof. Sospeter Muhongo. Pato la wastani la Mtanzania kwa mwaka 2013 (per capita income) ilikuwa ni $977 kama ilivyosemwa hapo juu na mchangiaji mmoja. Ili kuwa nchi ya pato la kati unahitaji pato la wastani la kila Mtanzania la...
  20. W

    Barrick Gold mining yabadili jina na kujiita ACACIA

    Mkuu Mojo umeongea jambo la maana, ABG ni kampuni ya Uingereza kwa maana hiyo imesajiliwa Uingereza na mamlaka za Uingereza ndiyo zilozotoa kibali cha kubadili jina. Sasa wamekwepa kodi ya Tanzania kivipi? Ni bora mtu aongelee vitu anavyojua kabla ya kupandisha ashki. Mbona mtaalamu Zitto Kabwe...
Back
Top Bottom