Search results

  1. M

    Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

    Yote yaliyosemwa kuhusu waziri mkuu 'mstaafu' yanatosha sasa. Kuna mambo mawili ya kufanya hapa. 1.Afunguliwe mashtaka sheria ichukue mkondo wake. 2.Tuendelee kupiga soga kumuhusu huyu mheshimiwa sana.
  2. M

    Msaada wa Namna ya ku cop na colleague ofisini mwenye MAPEPO

    Mpige injili ya Yesu na kumuambia mateso apatayo yataisha akimkabidhi Bwana Yesu maisha yake.
  3. M

    Muajemi ameingia

    sunku ya
  4. M

    HAAAAAAAAAAAAAAAAAA;;;;HII YA LEO KALI;;KAULI YA jk

    baada ya kucheka alisemaje?
  5. M

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    huoni mwega wa hoja zako kama umeenda hari jojo? huyo dogo ni mwananchama na sio kiongozi wa jumuiya mkoa wa kilimanjaro.mwenye mamlaka ya kuzungumzia maamuzi au maoni ya vijana wote wa mkoa wa kilimanjaro ni mwanachama au viongozi? tafakari,chukua hatua.
  6. M

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    nilitaka kuweka kumbukumbu sawa ili kama mtu anatoa maoni asijeenda hari jojo
  7. M

    Muajemi ameingia

    asante sana allien
  8. M

    Muajemi ameingia

    Ndie mimi na wengine wengi watakuja kwa utabiri wangu mwenyewe
  9. M

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    nimeona habari hii ITV ila naomba niweke kumbukumbu sawa...alietoa tamko sio kiongozin wa vijana mkoa wa kilimanjaro ila ni kada wa CCM na UVCCM.kijana huyo anaitwa paul makonda anasoma pale MUCOBS.ni kijana loyal kwa mh SITA. huo ndio ukweli anaetaka aamini asietaka aache
  10. M

    Muajemi ameingia

    Toka pande za ajemi nami naomba kufunguliwa mlango
Back
Top Bottom