Search results

  1. K

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    waheshimiwa sana memba wa jukwaa hili. Nimesumbuliwa kwa muda wa mwaka sasa na fangasi na sijaona dalili za kupona. Zipo karibu na korodani na sasa naona zimeanza kukamata korodani pia. Kwa dar hii wapi naweza pata huduma bora na za uhakika. Ningependelea hosp private. asanteni sana
  2. K

    Hodi ma great thinker.

    karibu sana ndugu yangu.wageni nao wanakaribishana
  3. K

    Wachambuzi wa soka kama edo kumwembe ni hatari kwa soka letu....................

    pole sana kwani inaonekana aliiponda timu yako hadi umeamua kumwanzishia thread.
  4. K

    Serikali yakanusha 'kujiuzulu' kwa Magufuli

    taarifa za kujiuzulu zatolewa na magazeti ya udaku au credible sources?
  5. K

    Kikwete apoza mashirika ya dini

    thread ya kishabiki zaidi.
  6. K

    kiluwiluwi naingia bwawani

    nawashukuru wenyeji
  7. K

    kiluwiluwi naingia bwawani

    nashukuru sana kwa mwongozo
  8. K

    kiluwiluwi naingia bwawani

    shukurani sana mkuu
  9. K

    kiluwiluwi naingia bwawani

    asante bwana sangara
  10. K

    kiluwiluwi naingia bwawani

    hahahaha...hiki sio kiluwiluwi cha mbu ndugu yangu
  11. K

    kiluwiluwi naingia bwawani

    asante bwana chatu dume
  12. K

    kiluwiluwi naingia bwawani

    kiluwiluwi naingia bwawani.naombeni ridhaa yenu wenyeji
Back
Top Bottom