Search results

  1. N

    Tarime kuna tatizo na tatizo si CHADEMA, ni Barrick

    Pesa, Nguvu na mwanamke. Yani hapo ni unatawala nchi, hakuna kiongozi atake sema hapo. Nyie subirini hata wabakwe kijiji kizima hakuna anaejali. Kulinda utajiri ni muhimu kuliko kingine chochote.
  2. N

    Tanzania kupiga marufuku mashirika ya hisani ya uingereza

    Huyu waziri ana akili timamu kweli? Ya nchini kwake yamemshinda EPA na menginey watu wapo wankula starehe kama kwaida na bado wantumbuwa pesa za umma. Wazungu ndiyo waliokuwa wanpiga kambi kule uingereza nje juwa kali, baridi kali pesa za walal hoi zirudishwe, leo hii yeye kaa offisini nakula...
  3. N

    Ridhiwani awapa siku 7 Dr. Slaa na Mtikila kukanusha utajiri wake

    Kuna yeyote anefikiria kwamba huyu kijana atafanyiwa chochote? nyie semeni matachoka lakini mali atakuwa nazo maisha yake yatakuwa juu daima, maskini watanzania watendelea kuwa maskini, bakuli zitaendela kutembezwa na watachukuwa hizo pesa na uendeleza mali zaidi, hazitafikia watarajiwa hata...
  4. N

    TANESCO Arusha na mgao wa visasi vya Kisiasa

    Tanesco Arusha wizi wa pesa za wannchi macha juwa kali linawaka hata aibu hawan kuzungusha wannchi kutewa nzima, kuwalipisha zaidi ya viwango vyao, kukata umeme kwa chuki na kuwalipicha mamilioni, muulizeni mhasibu wenu Tanesco Arusha amekusanya mamilioni mangapi kuanzia mwaka jana mpka mwaka...
Back
Top Bottom