Bujibuji asante kwa uzi huu wa ligha. Nazijaz, Decoder ni kisimbuzi na siyo king'amuzi. Ukirejea kamusi ya TUKI, ng'amua ni discover, realise au find out. Il'hali simbua ni decode. Hii ndiyo mizizi ya nomino mbili hizo Kizimbuzi na king'muzi.
CCM has clung to the history of founding the Tanzania nation for too long. Times changed, calling for new tunes CCM continued to sing the nation founding song. It is the right time for them to sit out of power for sometime. Should they return to power they will have learned the songs of present...
Moumou17, Your attempt on the Arabic letters is a fair one.
I wanted to remind you that there are other two consonants you left out. One is Laam-Alif and Alif hamza. Unfortunately can't write them here. But find out you will know what they are.
Aliyeisha cheza ngoma, aisikiapo mabega hayaachi kucheza. Mtu huyu EL ameishacheza ngoma ya ufisadi utake usitake. Ikulu kuna uwanja mpana atacheza zaidi, nchi itaumia. Sikieni maneno yake. Utajiri alionao eti bado anasaka utajiri. Jamani atueleze nini? Huyu ni fisadi tu. Hataacha akiwa Ikulu...
Waisilamu mlianzisha TAA na TANU. Uhuru ulipopatikana mkatoswa na taasisi zenu muhimmu kusambaratishwa. Wahenga wanasema ukiumwa na nyoka ukiona hata ung'ongo unakimbia vipi ninyi mnakimbilia ung'ngo? Ninyi ni wa ajabu kweli.
Most likely EL has wrecked havoc to this country till the Father of this nation threatened to withdraw from CCM if EL stood for Presidency in 1995. I am appealing to those with all the bad deeds of EL to this nation be bold and stand out and tell it all confidently so that we also know the bad...
Ww Pasco,
Wa-Tz wanakusoma usiwaite mazuzu watapoteza ladha ya kukusoma na ndiyo watakuwa mbumbumbu kweli. Kama kila mtu angejua www unavyojua usingekuwa na wakuelezea hadithi hizi tamtam. Wapemoyo wakusome waelimike. Ww ni bahati yetu hapa JF usitubeue.
Tunakuomba basi hata kwa kutumia anuani...
Mzimu uko sahihi kabisa. Jina ni utambulisho kamili wa mtu. Kwa hiyo kama utambulisho wako unakamilishwa na maneno ishirini basi maneno hayo ishirini ndiyo jina lako. Mfano Waziri Mkuu wa Tanzania jina lake ni: Mizengo Kayanza Peter Pinda na aliyekuwa Raisi wa Zaire Kabla ya Lawrence Kabila jina...
Wana J-F. mimi ninajua kiswahili na kiingereza kidogo. Ninajua Raisi akiwa mwnaume mkewe ni 'First Lady' kwa kiingereza. Iwapo Raisi ni mwanamke mumewe ataitwaje kwa kiingereza?
Nyote ni wadogo sana na hamjajitambua bado. Muoneni mtu anayeitwa kungwi awashauri. Mtaona ni jinsi gani nyote mnachemka. Hata wewe unayejifanya umevijua vyote utaona ulikuwa kiwango cha chini. Kwa kawaida unafurahia kinacholika. Huenda wewe ni "frigid' (asiyesisimka hata kwa tashkota na...
Excellent papers and awards collection by Prof. Muhongos. But one academician once described such degrees as follows: B.Sc. = Bull Shit; M.Sc. = More (Bull) Shit; Ph.D. = (Shit) Piled Higher and Deeper. To clarify what he said he added 'Unless those degrees are used for the benefit of mankind...
Sote tukapime afya zetu mara tatu au nne. Tukishajijua, tujipangie maisha salama zaidi yasiyo na maambukizi ya ukumwi. Inawezekana. Tusiambukize wengine kwa makusudi.
Mwna-JF hapa hukuwatendea haki members. Kazi hii hukuifafanua vya kutosha. Matokeo yake watakuja wa STD VII, Form IV, Form VI, Degree ya kwanza n.k. Waje kushangaa na kushangaana hapo hapo. Ungefunguka zaidi basi kusaidia wenzio wahitaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.