Hiyo ndiyo Dola...Nadhani watanzania hawajui maana ya Dola ya nchi...Amiri Jeshi Mkuu katika hali ya hatari ndiye anayeamuru Kila kitu na anatumia vyombo vyake vya Dola...It was right kwakua nchi ilikuwa katika hatari kwakua Rais alikuwa hawezi na ilitokea kabla hajamkabidhi rasmi VP mamlaka...
Kisha tuache mihemko, Michele ulinunuliwa hapa hapa ila ukapigwa charter ya American People, labda hiyo brand ndiyo mkataba unhekataa kuweka hayo...Hilo ni kosa letu wenyewe kwani tumeshindwa ku negotiate...
Lakini Kuna angalizo, je yunaoutaalamu wa kung'amua science ya virutubisho pasipo na...
Kwa hisani...Then my perception is nchi ilipinduliwa Kwa siku kadhaa ikarejeshwa baada ya kuapishwa Kwa Rais mpya....Maana Katiba ilikuwa clear kwamba Rais akishindwa majukumu ni Makamu ndiye Rais by default kama akienda nje ya nchi anapomwachia ofisi, Sasa CDF alikuwa ana amua wakati...
Nafuatilia Clip Mimi...Angejua hali asingeendelea na yake mpaka mwenzake anakata roho...Kama Kuna mambo ya muhimu kumkabidhi ambayo hayakuwa documented je? Kwani Katiba inasemaje? Nani anakuwa Rais kama aliyepo hawezi majukumu? Kwanini basi hakuwepo hapo wakati huyu ameshindwa majukumu?
Imagine Leo akiulizwa katika hali Ile, why wengine waliendelea kama vile nothing urgent was there?
Kwanini VP hakuambiwa kama msaidizi wa kwanza wa Rais kuhusu hali ya mgonjwa?
Kwakweli hii inezua maswali mengi na pengine wanazidi kutuzulia maswali zaidi kuliko majibu.
Hii ni ishara nchi hii watu wanaongoza Kwa makundi na siyo frame of operations, hali hii inapswa kurekebisha. Ni kama vile tunaishi Kwa hisani za watu. Katiba ndiyo source ya haya yote kwakua at some point inalimbikiza Madaraka Kwa individuals badala ya kuyaweka Kwa public
Kagera imesingiziwa kwakua Kuna Wilaya, kama Boharamlo na nhara ambapo watu ni masikini...Bukoba kama Bukoba siyo masikini tusijilishe matango pori. Pia na hisi Kuna watu Wana personalize issues...Mkoa kama Kilimanjaro ni kwasababu ya utalii ndiyo sababu inaonekana Ina uchumi mkubwa but then...
Hao chawa ndiyo chanzo Cha uzalendo kupotea. Maana chawa Hana address Leo yupo kichwani, kesho yupo kwenye nguo...Mtu yeyote mwenye tabia za kusifu pasipo haja hawezi kuwa mzalendo. Na ndiyo hao ambao ni chanzo Cha matatizo yote haya ya Sasa.
Nampenda sana Baba wa Taifa, ila Kwa sehemu...
Na kwanini aseme in public, what was the reason? It's family issue sasa kwanini yeye aje ajitangaze kwenye public? Mtu akamsaidie asijiharibie heshima yake. Amekuwa mtu mwema mtulivu kama baba yake aendelee hivyo hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.