Wana member kuna tetesi kuwa R.A kaingia chumba cha habari,HABARI CORP na kutangaza kujivua nyadhifa zake;ubunge na ujumbe Ccm,kuna chanzo kimebainisha.nami naendelea kutafuta ukweli zaidi hasa kwa kuanzia bungen iwapo leo amehudhuria ama la? NB Tetesi ni mwanzo wa kuchimbua habari yenyewe.
Marxis believes that media is, also, a means of maintaining the status quo.Those who have access/can control media are in a good position 2 articulate for/ defend their interest!usishangae.
And more worse uki2ma sms,iende isiende lazma ukatwe.Alafu hiv lazma ukope amount waliokupangia?kama ukikopa kutokana na shida zako,kwnn usiweze kumpgia wa mtandao tofauti?huu mkopo?wizi?riba 10%? Watz tujitazame upya!
Ni kweli.JF ni ukumbi wa uwazi lakini kuna mazingira yanayosabisha mtu kuwa anonymous kwa usalama wake.NDIYO MAANA MWANDISHI INABIDI WAKATI MWINGINE AFUNGWE KWA KUMLINDA SOURCE WAKE.
acha uvivu wa kufikiri wewe!hata maandamano wao ni habari.argue with no bias. 2 invest in tz or not ni suala la serikali na mwekezaji mwenyewe nt ccm,chadema etc
Hapa tz ukiona jambo linafuatiliwa ujue kuna msukumo wa ziada.Kwa mtu aliyesoma andiko la M/kijiji kuanzia kichwa cha habari hakuandika kama hitimisho!aliandika kwa mtindo wa swali huku akitoa sura ya vyama vyote viwili;chadema na ccm.lilikuwa ni jukumu la msomaji kusoma makala:kama mmojawapo wa...
NIPOKEENI, MGENI LICHA SINA KAMBA!
(Juzi) majira ya saa 1:30 nimekaa kando ya redio yangu, nasikiliza Kipindi cha spoti cha Radio One Stereo, taarifa ya kispoti inatoka pemba kwamba, timu ya Miembeni inapania kuishtaki Mundu ZFA kwa kile inachokiamini kuwa imechezesha wageni wengi kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.