Search results

  1. Mamuu55

    Nisaidie maoni/ushauri/mawazo

    Nilikuwa na BF wangu tukapenda sana mpaka tukakubaliana kuona kwenda kwa wazazi wake wakanikataa eti kabila tofauti aoe kabila yake baada ya kuambiwa hivyo mie mapenzi yakapungua kabisa, na yeye aliona akawa hataki kunielewa nikawa nakata mawasiliano kabisa na yeye wala sikumuhitaji tena...
  2. Mamuu55

    Shukrani za pekee kwa Dena Amsi

    Na mimi nataka hilo darasa
  3. Mamuu55

    Nimsaidieje?

    Huyo ni muhuni sasa hata akiwa soba hataki kuongea. ingekuwa akiwa na ulabu ndo noma ila sasa mambo mengine magumu hata kuingilia. ila ndo yataka uvumilivu ila saa nyingine inakuwa ngumu
  4. Mamuu55

    Natafuta mchumba

    Asante sana kumbe uko Kenya wewe ni Mkei kama mimi au. Mimi nipo Nairobi ngoja nikutumie email. Ila sasa hujasema wewe ni she or he nisijejichanganya
  5. Mamuu55

    Why is it...?

    Aibu kuonekana
  6. Mamuu55

    Nimsaidieje?

    Dunia hii bado kuna watu wanapiga wake zao.... Aibu sana kupiga mke Anakuwa amepata ulabu kidogo au yupo mkavu mkavu tu
  7. Mamuu55

    Huwa unawaza nini.....!!!

    Wengine zipo tu home hakuna ahadi hata siku moja
  8. Mamuu55

    45% ya Wanawake wenye Ajira wametoa Rushwa ya Ngono!

    Wanawake tunaonewa. Rose Migiro nae alitoa rushwa ya ngono akawa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa?? Sie ni mama zenu, dada zenu, shangazi zenu, wake zenu mbona mnatuonea hivyo. Tukifanya kizuri tumependelewa eeehh jamani hebu give us a break
  9. Mamuu55

    Tahadhari kwa wanywaji wa Castle Light na Tusker

    Pombe mbaya lakini tamu kuacha kazi kweli
  10. Mamuu55

    Hii inakubalika?

    Wanasikiajae na hiyo TV iko on??
  11. Mamuu55

    Ben Kinyainya na vituki

    Hizo sidiria kiboko
  12. Mamuu55

    Kuna tatizo gani kwenye hii picha?

    Hao inaonyesha walikuwa wanatoa msaada kwa wenye shida/mahitaji kisw issue . Naona wanacheka labida ndo tatizo
  13. Mamuu55

    Ninawasalimu

    Karibu mgeni mwenzangu jisikie uko nyumbani
  14. Mamuu55

    Ninawasalimu

    Lugha za kejeli na matusi haziruhusi kwa sheria za JFnilivyozisoma
  15. Mamuu55

    Umenifanyia hivyo mume wako!!!!

    copy and paste nacho ni kipaji maana kaedit angalau ningekuwa mimi ningeharibu kabisa
  16. Mamuu55

    Binti Anataka Nizae Nae!!!!!

    Na sio utajri. Toa ndugu, toa ndugu, ulichonacho na wewe bwana anakuona mpaka rohoni mwako
  17. Mamuu55

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    Ungemtumia PM ingekuwa bora
  18. Mamuu55

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    Umeoa kaka tulia na wako usihangaike utadhurika bure
  19. Mamuu55

    Nampenda bt naogopa kumwambia!

    Domo Zege broda
Back
Top Bottom