Search results

  1. Munni

    Maswali kuhusu Taulo za Kike zinazotolewa bure

    Wanawake wengi??? Ulishafanya tafiti au ni kwa demu wako tu. Mi nipo dar na sijawahi kukikna wala kusikia
  2. Munni

    Wanawake mnaowakataa wanaume huo ujasiri mnautoa wapi?

    Huna tofauti na wale vijana wakitongoza binti na kukataliwa wana waua. Sio lazima kila unachoomba upewe lakini pia huenda huna hadhi sawa na unayemtongoza tafuta level zako
  3. Munni

    Akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia "Maternity bag"

    Haliuzwi sehemu ni unatajiwa vifaa vya kununua wewe ndo unaenda vitafuta. Labda kama siku hizi wemerahisisha kwa wale wavivu ila sio lazima uchukue hapo
  4. Munni

    Akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia "Maternity bag"

    Begi ni lolote unaloweza kuwekea vifaa, Pamoja na vifaa vilivyotajwa hapo juu ni vizuri pia waweke khanga kadhaa, vitenge na nguo za mama mjamzito za kudalisha baada ya kujifungua. Huwarahisishia sana kazi nurses wanaowahudumia wajawazito mana begi huwa lina kila kitu hivyo hata mama hasumbuki.
  5. Munni

    Napenda kufahamu kuhusu Rajab Zomboko wa 'Hawavumi lakini Wamo'

    Ila kuna watu wana roho mbaya yani unaweza kuta hata sura hawamjui lakini wanavyomponda ni kama wanalala na kuamka nae daily
  6. Munni

    Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

    Kwanza siku hizi wanawake hawalii mamy kama ume notice hilo ni mijibaba tu ndo inashinda kulialia hapa.
  7. Munni

    Flaviana Matata

    K Wa hiyo unataka kusema mtoa mada ni mwanamke??
  8. Munni

    Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Shangaa na wewe mama mana nimeona jinga moja hapo juu linalaumu wanawake kwa kukaa na mashoga wakati wafiraji hawaongelewi
  9. Munni

    Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Uache kulaumu wanao mfira uje ulaumu wanawake una kichaa wewe kwani walimshikia miguu. Mijibaba ya jf mnakera kila tatizo lawama mnawapa wanawake khaaa kwa style hii ya kulalamika acha muendelee kuliwa tu
  10. Munni

    Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

    Binafsi sijawahi kupata. Napeleka sana wanangu na wanatibiwa ila sijawahi jua gharama halisi
  11. Munni

    Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

    Bora hata huko mnapewa hizo form huku niliko nahudumiwa mwisho nikitaka card naambiwa ni sign kwenye ki mashine hata huwezi jua gharama zilizotumika maana hatuzioni kabisa form zaidi tunapewa vi paper vya number
  12. Munni

    Simiyu: Askari Polisi ashikiliwa kwa tuhuma za kumjeruhi mwanaye kwa kipigo kikali

    Huyo ni mtoto wake wa kumzaa anamfanyia unyama hivyo, sipatii picha huko kituoni na sehemu zingine anapokutana na watuhumiwa au waalifu khaa. Kuna shida mahali kwa jamii hasa miaka hii . Tatizo la akili hili
  13. Munni

    Namsaidiaje mtu anayepatwa na hii hali

    Kama ipo nyumbani unampulizia mdomoni huwa unatoka kama mvuke ndo tiba yao kubwa huwa inawapa ahueni pale wanapobanwa sana
  14. Munni

    Happy Birthday to mie

    Happy birthday mkubwa naona Mungu anaendelea kuwa mwema kwako.
  15. Munni

    Waziri wa Mazingira awe makini na waendesha bodaboza za mkaa

    Hii ni njia ya kwenda lindi🤣🤣 mbupu zinapashika moto kweli kweli
  16. Munni

    TBC kuonesha World Cup, Azam ndio sterling wa hili picha

    Ila wabadilishe mtangazaji kapoa sana hata watangazaji wa ndondo cup wamemzidi mbali
  17. Munni

    Ushauri unahitajika kwa dada yetu

    Una kiranga mwanamke naona tu hapo umekumbuka ukunaji wa bwana mchaga na huenda ana vijisenti so umemtafutia sababu mumeo ili u justify unachotaka kukifanya. Tulia mwana wa kike hata huku unakotaka kukimbilia utajutia sana. Hakuna ndoa rahisi kamwe so usije ona ugumu kwa hii ya kwanza ukadhani...
  18. Munni

    Ndoa matatani, mke kuhama bila mumewe kufahamu ni sawa?

    Mi nadhani usije Dar kwanza mana sioni haja ya kuja huku ni kupoteza nauli na ku risk kazi maana umesema sometimes huombi ruhusa. Mtoto utamuona tu hata wakati wa likizo. Mkeo amekuchoka na hajui njia nzuri ya kukueleza so nawe jiongeze maybe kapata mtu ndo mana hata ilikua rahisi kwake hutoka...
  19. Munni

    Balaa ni zito mchepuko kashika mimba

    Mimi nilijua kaua kumbe ni shu ndogo hivyo. Ukipanda wakati wa masika ujue kuna palizi na mavuno. Wa kumshauri hapa ni Masanja amtafute
  20. Munni

    Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

    Nimemshangaa kwa kweli wao wanabaka mpaka kuku lakini wanajiona wasafi inasikitisha.
Back
Top Bottom