Search results

  1. M

    StarTV Live: Uwajibishwaji Viongozi wa Halmashauri nchini

    Kimsingi haya yote ya uwajibishaji wa viongozi wa Halmashauri nchini unatokana na mambo makubwa mawili yanayopelekea ubadhilifu wa mali ya umma. Moja ni kwamba viongozi ambao ni wawakilishi wa wananchi kwenye ngazi mbalimbali kama diwani,mbunge na Rais mfumo wao wa kuwapata ni wa kimashaka...
  2. M

    Mjadala wa kujitenga kwa Zanzibar ni mgumu kuliko kujadili kuuimarisha muungano...

    Ukisema hivyo maanake wewe ni miongoni mwa wananchi munaounga mkono uwepo wa Muungano ulioizaa uwepo wa Zanzibar,ukiikataa Zanzibar ya sasa utakuwa una taka unguja, au pemba,Sultan,au Mwarabu.Mjadala uendelee.
  3. M

    Mjadala wa kujitenga kwa Zanzibar ni mgumu kuliko kujadili kuuimarisha muungano...

    Wakati tukiendelea kuhakikisha haya mainteligensia yaliyokuwa na nia ya kumuua Ulimboka yanaanikwa na kuyashughulikia. Nawaomba wanajamvi tuweze kulitazama na kulitafakali suala hili la Muungano wetu kwa kina na tahadhari kubwa ikiwa si kwa kukomoana, kuoneshana bali kutazama kwa mbele na...
  4. M

    Chadema yaivamia ccm jimbo la kinondoni,lengo kuongoza kuitokomeza ccm majimbo yote

    Katika hali ya kuzidi kujipanga na kujiimarisha kuelekea mapinduzi ya mabadiliko ya lazima mwaka 2014/2015,Kwa mujibu wa Taarifa kutoka baraza la Vijana Kinonondoni,Jumamosi hii ya tarehe 23.06.2012.Ndg Mwita Mwikabe,Msafiri Mtemelwa na Benson Kigaila(wakurugenzi Makao makuu ya Chama) wataongoza...
  5. M

    Uwepo wa taarifa za kutisha juu ya mbunge hilda ngoye.

    Tusibishanie eneo la tukio,tubishanie uwepo ama kutokuwapo kwa tukio,huu ndyo mjadala,pia kimaadili ya mjadala,suala lolote lenye mashaka ni lazima tulijadili kwa mapana na kulifanyia uchunguzi wa kina juu ya uongo au ukweli huo. anailikuwa huko,nimeambiwa na wanakijiji,tulijadili then...
  6. M

    Uwepo wa taarifa za kutisha juu ya mbunge hilda ngoye.

    Ni kijana wa kiume,umri miaka zaidi ya 20,ni mtoto wake wa kumzaa,ni jumamosi ya wiki jana nilikuwako huko na kukutana na wanakijiji cha mbunge,nimezungumza na lika la wazee,wakanithibitishia hilo,ni ulemavu wa akili,wanakijiji wanasikitika lakini wanamuogopa mbunge kama mjuavyo mbunge...
  7. M

    Live on Star TV: Bajeti 2012/13 utekelezaji na utashi wa kisiasa

    Kuna tatizo kubwa la kusimamia utekelezaji wa bajeti na utungaji wa bajeti inayoitwa ya wananchi,huku watendaji wa Serikali kushindwa kusimamia sheria ya vijiji kwa kuitisha miktano mikuu ya vijiji kila baada ya miezi mitatu,ili wananchi wasikilize mapato na matumizi,waibue miradi na washauri...
  8. M

    Uwepo wa taarifa za kutisha juu ya mbunge hilda ngoye.

    Kuna tetesi za kuendelea kushamiri kwa vitendo vya unyanyapaa kwa walemavu,taarifa hizi zimepatikana kutoka kwa wanakijiji anachoishi Mh Hilda Ngoye(mb) Viti maalumu CCM.,Wakazi wa Kiijiji cha Kikota katika Wilaya ya Rungwe wamemlalamikia Mh Mbunge huyo mwenye mtoto wake wa kwanza wa kiume...
  9. M

    Karatu vijijini wamechagua mabadiliko,cecilia pareso [mb] tunda la jamii ya wanamabadiliko 1995

    Salaam wanaharakati,Sisi tunao amini katika mabadiliko,tunaamini ukombozi sahihi na wa kweli huanzia vijijini,maana hawa ndiyo wazalishaji wakubwa wa uchumi wa nchi lakini sauti zao zikipuuzwa,basi unatafuta laana kwa Mungu wako au babu zako. Cecilia ameanza kazi...
  10. M

    Mbunge Cecilia Paresso atekeleza yaliyoshindikana kwa serikali ya CCM iliyo na miaka 50

    Mh Cecilia Paresso[mb] Karatu,jana amepata rasmi baraka za wananchi wa Karatu,huku akianza kazi kwa kishindo mara baada ya kusindikizwa na msafara wa magari zaidi ya 60 na piki piki 100,Makubwa yaliyojitokeza katika Viwanja vya Mbowe Wilayani Karatu ambapo mkutano wa hadhara mkubwa...
  11. M

    M aandamano makubwa yaandaliwa kumpokea mbunge cecilia palesso wa chadema

    Mbunge mpambanaji Cecilia Pareso aliye apishwa hivi karibuni katika bunge lililopita huko Dodoma,leo ameandaliwa mapokezi makubwa wilayani Karatu,yanayoratibiwa na Baraza la Vijana la Chadema Karatu ikiwa ni hitimisho la kiapo chake cha mwisho kwa wananchi, katika safari ya kuwatumikia...
  12. M

    CCM katikati ya ufisadi na madhara yake kwa taifa

    Ndugu Watanzania ni vizuri tukafuatilia kwa Umakini mkubwa uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi[CCM] kwasababu kwa mujibu wa Katiba ni chama kilicho na ridhaa ya kuwaongoza Watanzania,japo kinatawala baadala ya Kuongoza. Uchaguzi ndani ya CCM unaishara kubwa za...
  13. M

    Wanaompinga Zitto kuutaka urais ni wahaini wa demokrasia ya ushindani

    Kama hujui siasa,hukijui chama siyo lazima uchangie,usitutukane wanyakyusa,baki kuwa shabiki baadala ya kudadisi,kufikiri na kujibu.uliza Mwakajila utamjua kwa hoja zake na siyo ushabiki wako.muulize mzee wa upako unayemsema na wengine wengi hapo mkoani.
  14. M

    Wanaompinga Zitto kuutaka urais ni wahaini wa demokrasia ya ushindani

    Binafsi nimefuatilia kwa kirefu juu ya kauli aliyoitoa Comrade Zitto hivi karibuni kwamba anautaka Urais. Zitto ambaye ni mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,aliitoa kauli hiyo wakati Taifa lipo katika hali mbaya ya Uchumi, Siasa na...
  15. M

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    Nashukuru kuujadili mjadala huu wa maada ya Ujana na Urais ambao sasa yapata muda mrefu ukiwa unabeba ushabiki mkubwa na mashaka ya fikira za wenzangu waliotangulia. Kimsingi nampongeza Zitto Kabwe kwa kuonyesha japo dhamira katikati ya kundi kubwa la vijana ambao wengi...
  16. M

    Chadema kulikoni? Utitiri wa Vyeo (Mpango madhubuti wa kulindana huku mkibomoa chama)

    katika mambo ambayo vugu vugu la mabadiliko ya kisiasa yanadai hapa nchini ni mfumo wa madaraka na uwajibikaji unaochochea maendeleo.Hoja inayojadiliwa na huyu Tuntemeke nadhani haitakiwi kupuuzwa zaidi ya Chama changu kuifanyia kazi.Nimemsoma Kiongozi wangu Zitto na Dr...
  17. M

    Taarifa kwa vyombo vya habari

    Urais siyo mali ya wazee,mchakato wa kuamua Rais awe na sifa zipi ni wa Watanzania,kila mmoja ana wajibu wa kupendekeza sifa za mgombea urais aweje,ili mradi awe Mtanzania. Mbona Zitto akitoa maoni yake juu ya kipengele cha kikatiba kuhusu urais watu...
  18. M

    Ukoloni mkongwe unakua kwa kasi nchini,huku ukishabikiwa kwa nguvu kwa mgongo wa sekta binafsi

    Baada ya Uhuru wengi tutakumbuka kwama Mwl Nyerere alisema Tanganyika haikuwa na matabaka.Ni dhahiri kwamba alikuwa akizungumzia hali ya Wazawa,kwasababu wageni[Wazungu,Wahindi, na Waarabu] walikuwa matabaka ya juu wakati wa ukoloni na mpaka miaka ya mwanzoni ya Tanzania Huru.Hawa ndiyo...
  19. M

    Zitto, Makamba wautaka urais?

    Tanzania kuna tatizo kubwa sana la kasumba ya baadhi ya vijana tena waliozaliwa na kukulia katika mfumo wa siasa shindani kuwa na ushabiki wa kipuuzi baadala ya kuwa vijana wanaohoji,kusikiliza,kufikiri na kudadisi. Mtu anafanya umbea wa nani ni rafiki yake nani.nani ni...
  20. M

    Tume ya taifa ya uchaguzi [nec] yafanya uteuzi wa mbunge viti maalum chadema

    Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Yaani NEC,Imefanya uteuzi kwa Kumteua mh.Cecilia Danieli Paresso aliyekuwa Diwani wa huko Karatu,kuziba nafasi ya ubunge wa Viti maalum iliyokuwa wazi baada ya Kifo cha Mh Regia Mtema.Uteuzi huu umefanyika tangu Tarehe 14.02.2012.Hii ni kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom