Search results

  1. 50thebe

    Simu za mkopo ni wizi mtupu

    NAKAZIA
  2. 50thebe

    Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

    Hili la graduate kukosa mipango ya kusaka mahela ni suala linafikirisha sana. Nafikiri graduate wengi ni wachagua jembe, hivyo sio wakulima. Namaanisha wengi ni wachagua kazi badala ya kuwa direct kwenye kusaka noti. Graduates wabadili fikra!
  3. 50thebe

    Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Kuilaumu Imani, kuikashifu Imani, kuidhihaki Imani ni kukwepa msingi mmoja mkubwa wa hii phenomenon inaitwa mwanadamu. Imani ni sehemu muhimu mno ku-study mwanadamu. Vema kuitazama kwa umuhimu kabla ya kuhitimisha kwa kuidogodesha
  4. 50thebe

    Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Hizi research question zinalenga kujibu swali lipi la msingi? 1. Descriptive 2. Explorative 3. Inference 4. Predictive Weka nuru zaidi kwenye hojaji, pengine itatuongoza kujadili
  5. 50thebe

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Utakuta wewe ndiye huyo jirani anayejenga ghorofa unataka kumhamisha jirani yako bila kelele
  6. 50thebe

    Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

    Hapo kwenye USD mkuu ongeza 00. Hawa Azam hawataki kijana aondoke, ni kama wanamukea vikwazo. Tutasikia mengi
  7. 50thebe

    Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

    Nimekusoma 👍🏾
  8. 50thebe

    Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

    najiuliza, kweli thamani ya Prince M Dube ni USD 300,000 ( TZS 765 Milioni)? Hii imepimwaje? Mwenye ufahamu anijuze
  9. 50thebe

    Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Siasa ni maisha, kuanzia usajili wa vizazi Hadi usajili wa vifo, and EVERYTHING in BETWEEN Birth and Death. Kila kitu ni siasa 100%.
  10. 50thebe

    Hii kauli "Simba dhaifu" inatugharimu sana Yanga

    wanaoidharau Simba ni mashabiki wa Yanga, sio wachezaji wa Yanga. Wachezaji ndio wataleta matokeo uwanjani
  11. 50thebe

    Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    Mkeo amekidhi sifa na vigezo vya kuwa Bi Mkubwa. Unangoja nini kumtunuku cheo chake kinachomstahili?
  12. 50thebe

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Reflection kama hizi zitakusaidia sana kujua wewe ni nani na nini unataka. Tena unavyoandika ndio inakuwa profound kabisa. Andika matukio yote, yaweke kwenye Mafungu ya miaka mitano mitano [statistical interpolation]. Kesha andika mengine uyatakayo yatakayotukia kuanzia sasa ukiitafuta miaka...
  13. 50thebe

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Mkuu hili hitimisho la "mental illness" na "hana shukrani" limetokana na utafiti ama maoni binafsi?
Back
Top Bottom