Search results

  1. S

    (Revised Edition 2010)

    iwapendeze ndg zangu, umekuwepo mkanganyiko kuhusu sheria zilizofanyiwa marekebisho 2010 kama zimeshaanza kutumika? kama kuna mtu ana ushaidi kuwa zimeshaanza kutumika anisaidie juu ya hilo.
  2. S

    Hon Mr Justice Chipeta (RTD) is no more

    Judge chipeta atakumbukwa kwa mengi ila nitamkumbuka kwa mchango wake ususani nikiwa kama mwanafunzi wa sheria kwenye vitabu vyake kama magistrate's manual,administrative law in Tanzania na Hand book for Public Prosecutors.Mwisho Prof Issa Shivji kwenye Rulers of law and Rule of law Judge...
  3. S

    Defence Alibi

    defense of alibi.ni pale ambapo mtuhumiwa anasema sikuwepo eneo la tukio ambapo kosa limetendeka pitia kesi ya nguza viking(babu seya) mtoto wake aliachiwa kwa kutumia defense of alibi
  4. S

    Wale wa UDOM

    L.L.B udom pamoja sana
  5. S

    Toefl test

    Ongera kwa kujiandaa kufanya toefl kwa dar unajiregister tansao(golden tulip) na mtihani int sch of tanganyika.pia hata ukitaka sat but ielt nenda british council toefl $ 300.usisite kuuliza tena
  6. S

    Gration Mukoba au Wilfred Lwakatare?

    Ningependa kujua ni mtaa gani.mhe lwakatale wana bukoba wanataka kujua pesa za abana bashome umeziweka wapi
  7. S

    Minaki na miaka 50 ya uhuru

    Samahani kaka ni tarehe 3/12/2011 ni imani yangu kuwa tutakuwa pamoja
  8. S

    Minaki na miaka 50 ya uhuru

    Samahani wana jf.nipeni nafasi ya kufanya masahihisho na kueleza vizuri.thr 3/12/2011 kutakuwa na kongamano la minaki na miaka 50 ya uhuru shuleni minaki kisarawe pwani.tunafanya mikakati ya kutafuta watoa mada mbalimbali na waandishi wa habari.tuna amini tanzania itajengwa na watanzania.wazee...
  9. S

    Minaki na miaka 50 ya uhuru

    Minaki tungependa kuwa na wapenda maendeleo
  10. S

    Minaki na miaka 50 ya uhuru

    Vijana wa minaki tunapenda kuwa karibisha watu wote waliosoma na kuitumikia minaki tr 4/12/2011.
  11. S

    Samahani wana forum nipe tofauti ya enforcement of law na shahada ya sheria

    Ninataka sheria ila sijui tofauti ya enforcement of law na law
Back
Top Bottom