Search results

  1. M

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Nilianza kuifutatilia ila nikaona haifai kabisa. Haiwezi kufikia viwango vya ISIDINGO. Lungi Byela na ZEB Mathabane wapo kule
  2. M

    Wenye chuki binafsi na Makonda msitumie Mitandao ya jamii kumtenganisha na Rais Magufuli

    Bashite hafai hata wewe mwenyewe unajua hivyo labda kama amekutuma uje umteteee huku. Ndio maana akaharibu event nzuri ya Jokate ya kutokomeza zero Kisarawe kama kawaida yake mange amemuita 0 brain
  3. M

    Hassan Simba Yahaya: Balozi anayeaga aga kila ofisi badala ya kuripoti Zambia

    Tena nasikia aliandaa na Party ya kuagana imeota mbawa kimyakimya
  4. M

    Je, unayajua haya kuhusu serikali ya awamu 5?

    Umetumwa na nani?
  5. M

    Yaliyojiri katika kuaga Mwili wa Marehemu Philemon Ndesamburo

    Nasikia Ndio kaimu Mkuu wa Mkoa
  6. M

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Kwani Haruhusiwi kukata rufaaa???
  7. M

    Membe amkosoa Magufuli

    Alikuwa msaidizi wa VASCO DAGAMA
  8. M

    Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    Bwanda za Jeshi ndio zipi hizo?
  9. M

    Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Nakubaliana na wewe ni vizuri twende mahakamani ila tutafute kwanza status ya NICOL
  10. M

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Du kAMA NI KWELI ngoja nikajiandikishe sasa ili niipigie CHADEMA
  11. M

    Hili tangazo ITV sio zuri

    maana yake ni kufanya mapenzi na mwanamke ndio maana nasema ni vema ITV wakaondoa tangazo hilo
  12. M

    Hili tangazo ITV sio zuri

    kuna kampuni ya simu za mkononi inaitwa tiGO angalau kampuni ndiyo imesajiliwa kwa jina hilo halafa jamaa wakaanza kubadilisha maana. hili la kutusua linamaanisha kufanya mapenzi na demu. ITV ondoa hilo tangazo please
  13. M

    Hili tangazo ITV sio zuri

    Kutusua maana yake ni kufanya mapenzi na mwanamke
  14. M

    Hili tangazo ITV sio zuri

    Kutusua ni kufanya mapenzi na mwanamke.
  15. M

    Hili tangazo ITV sio zuri

    Kutusua ni lugha tuliyokuwa tunaitumia miaka hiyo ukipata demu ukalala naye ( kufanya naye mapenzi) ndio unasema umemtusua lilikuwa neno la kawaida sana kwa vijana wakati huo...... Maana yake ndio hiyo hata kama hutaki ITV wasitishe hili tangazo sio zuri linafaa kule kwa wakubwa
  16. M

    Hili tangazo ITV sio zuri

    Kuna Tangazo linatoka ITV la TMT linalosema mpaka utusue, mpaka kieleweke, mpaka ukome. Sasa hili neno 'mpaka utusue' maana yake nini? Kwa sisi wa miaka hiyo, hili neno lina maana mbaya, na ubaya tangazo hili mpaka watoto wanaangalia. Ni vizuri ITV wakasitisha tangazo hili mara moja.
  17. M

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Burundi atoroka

    Leo asubuhi BBC wamesema amekimbilia Rwanda na Serikali ya Rwanda methibitisha yupo huko
Back
Top Bottom