"The greatness of any nation is held with three pillars,the fidelity of a constitution, rule of law and above all the fear of God"
Chief Justice Maraga
mnapokosea ni kuona alichokifanya Lissu ni maamuzi yake, mnapokosea zaidi ni kupayuka katika jambo ambalo hamlijui ama kwa makusudi/bahatimbaya mmeamua kulipotosha
ni kweli kwamba viongozi wa CHADEMA na "upinzani" kwa ujumla hawatakiwi kjificha nyuma ya kivuli cha "wamehongwa, wametumwa, wasaliti n.k" wanatakiwa waamke kama hawajaamka na waone giza linakaribia.
lakini hili la Arusha kwa maswali yako ni kujibu hivi imekuwa Arusha kwakuwa ni ngome kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.