Search results

  1. BrAsMaRiLiSaShElMa

    DOKEZO Mkurugenzi Mtendaji Magu na wenzako, mmetupiga milioni 40 za EP4R Shule ya Msingi Magu

    Wewe jamaa; unamtaka mleta uzi akupe documents za ujenzi wa madarasa hayo yeye ndiye mkandarasi au Mwalimu Mkuu au DED Magu? Anacholalamikia mleta mada ni kuwa, serikali ilitoa milioni 40 za EP4R kwa DED Magu kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mawili pamoja na madawati yake; kwa BOQ ambayo kiasi...
  2. BrAsMaRiLiSaShElMa

    DOKEZO Nyagabona ni Afisa Elimu Taaluma (W) mla rushwa wilayani Magu

    Usilolijua ni kama usiku wa giza!! Wewe hujui usemalo; na ninakushauri kuwa, kabla ya kusema chochote kwenye majukwaa kama haya fanya kwanza utafiti; acha kukurupuka. NANI ALIKUAMBIA KWAMBA MWALIMU MKUU HATEULIWI NA AFISA ELIMU WA WILAYA? Afisa Elimu wa Wilaya Msingi (kwenye mada iliyopo)...
  3. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Marekani yalalamika kuwa Iran yajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake hatari Urusi zikatumike vitani Ukraine

    Hizo zitakuwa zimetengenezwa na Duplicate Industries za Mrusi zilizoko Iran and allies; zinapelekwa field kwa majaribio. Hata China kuna Duplicate Industries za brand za Marekani kama iPhones, computers za acer, hp; n.k. Siyo kila bidhaa ya US unayonunua imetengenezwa US; zingine zimetengenezwa...
  4. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Kumbe Rais Putin anatumia Boeing. USA hakwepeki

    Keshasepa huyo Pro-USA. Anadhani anaweza kuwalisha matango pori watu wote humu, kwa wakati wote!! Thubutu yako!!
  5. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

    Napendekeza Jina; nchi mpya itaitwa TANZABURI. TANganyika ZAnzibar BURundi I ipo kwenye Tangany(i)ka, Zanz(i)bar na Burund(I).
  6. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Ukraine waamua kuachia mji wa Severodonetsk baada ya kichapo kikali

    Kinachotekwa ni ARDHI; vilivyo juu yake kama majengo na miundombinu, vitajengwa Kama vilivyokuwa vimejengwa awali hata na kuzidi. Raslimali iliyoko chini ya ardhi, kama madini na gesi, vitabaki kuwa chini ya aliyeiteka. GO Vladmir Putin; PUT THEM IN.
  7. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Marekani: China inazidi kutumia mabavu na fujo

    Eti "itasimamia nafasi yake"!! Nani aliyempa hiyo nafasi ya kusimamia mambo ya Asia? China nenda; mrudishe Taiwan zizini.
  8. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Baada ya hali kubadilika Biden amsuta Zelensky

    Pole mkuu; ni heri ukweli mchungu kuliko uongo mtamu.
  9. BrAsMaRiLiSaShElMa

    US yazionya nchi za Afrika kutonunua nafaka kutoka Urusi

    Uko sawa; lakini wanapaswa wajue kwamba nyakati hubadilika; hawawezi kuwa walivyo siku zote, mambo yanaenda yakibadilika. Zile amri za kiimla za wamarekani ambazo zilikuwa hazibishiwi enzi hizo, sasa zinajibiwa kwa namna mbalimbali; hata kwa kuviziwa kama walivyoviziwa na Osama na kuumizwa...
  10. BrAsMaRiLiSaShElMa

    US yazionya nchi za Afrika kutonunua nafaka kutoka Urusi

    U Ukiwemo wewe mwenyewe; JIAFRIKA, bure kabisa.
  11. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Vita ya Urusi na Ukraine, Ujasusi, Majeshi na Uchumi

    Mkuu naona jazba imekutawala; mpaka unamwita mwenzako NONSENSE, si jambo jema hata kidogo. Amesema Russia anapambana na Intelligence Agents zote za NATO + Other Western Allies; hiyo ni kweli wala siyo propaganda. Kwa wingi wao huo na nguvu ya vyombo vya habari wanayomiliki, kwa nini...
  12. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Most admired brands in Africa, hakuna brand ya Urusi hata moja

    Umesahau kwamba brands zote hizo ulizozitaja na ambazo hujazitaja lakini ziko kwenye masoko ya Tanzania na unaendelea kuzifurahia, zinalindwa na bunduki ya AK 47 (au SMG 56) kwenye majeshi yetu yote; na Makombora ya BM 40 na Mizinga ya 122MM ya JWTZ, vyote vya kutoka Urusi na zana nyingine...
  13. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Ukraine waanza kurejesha Mji wa Severdonetsk ambao Russia walitangaza kuuteka

    Kuuzingira Kyiv ilikuwa ni mbinu tu ya medani ili majeshi ya Ukraine yaelekeze nguvu kwenye kuuhami mji mkuu; ili kupunguza nguvu huku Mashariki ambako ndiko kulikuwa kumelengwa haswa. Mpaka majeshi ya Ukraine yarudishe nguvu upande wa Mashariki, Russia walikuwa wameshasonga mbele sana na kuteka...
  14. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Anguko la Putin linaenda na kishindo kikubwa Duniani

    Akikujibu uni-tag tafadhali. Volodymir Zelenskyy amesikika akilalamika kwamba mpaka sasa Russia inakalia asilimia 20 ya Ukraine; au mimi sikuelewa?
  15. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Kamanda wa kikosi cha Marine wa jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk na mwenzake Colonel Dmytro wakamatwa na majeshi ya Urusi

    Hiyo habari huwezi kuisikia kwenye Western Media corporations Kama CNN, BBC and allies. Hiyo kwao siyo habari, ni propaganda.
  16. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Wewe bwana nyboma vipi!!! Ana maumbile ya kike au kwa kuwa ni mwanamke kweli? Sahihisha kauli yako tafadhali.
  17. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hiyo "LOST REPORT" anayotakiwa kuja nayo ni tofauti na LOSS REPORT anayopewa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya upotevu kwao?
  18. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Genge la walaghai, matapeli na wanyang'anyi wanatesa wananchi hapa Sahara jijini Mwanza

    Kwako OCD NYAMAGANA, C.C. RPC MWANZA; Bila kupoteza muda napenda nieleze juu ya uovu unaofanyika hapa eneo la SAHARA, mkabala na Posta Pamba Road. Katika eneo hili kuna pilika nyingi za kibiashara, ambapo watu wengi kutoka sehemu mbalimbali hufika hapa ili kujipatia mahitaji yao mbalimbali...
Back
Top Bottom