Ndio maana binafsi naamini hizi dini zote ni Upuuzi na zipo kwaajili ya maslahi ya watu.
Ukuaji Wa kweli Wa kiroho (Really Spirituality) ni tofauti Sana na mafundisho ya dini zote hizo.
The First Law katika 48 Laws of Power kitabu kilichoandikwa na Robert Greene inseama;
NEVER OUTSHINE THE MASTER.
In your quest to impress the people above you, don't flaunt your talents too much. If your superiors feel insecure, they'll find ways to replace you. Even if you're currently in...
Asante sana mkuu kwa Tarifa hii.
umetutajia maeneo mawili yenye changamoto ya kaji katika mkoa wa Morogoro ambayo ni kihonda na mkundi .
Swali langu kwa uzoefu wako ni maeneo gani ambapo naweza pata nyumba ya kupanga kwa bei rafiki (bei nzuri) na kuna uhakika wa huduma muhimu haswa maji na shule...
Habari Wakuu?
Shukrani kwa huu Uzi
Nina binafsi nina mpango wa kuhamia mkoa wa Morogoro na ninpenda kufungua biashara ya vilainishi vya magari.. Sasa kwa wenyeji wa mkoa huu ningepnda kujua mambo mawili muhimu;
Kwa wastani gharama za chumba cha biashara (yaani kodi ya pango kwa mwezi). kwa...
Upande wa uwanja wa ndege aliyejijengea ndio kaondoka kutumika tena labda siku viongozi kutoka nje wanakuja kwenye mazishi, Baada ya hapo sina uhakika.
Hivyo vingine kama Veta na hospitali watanufaika wanancha wa Chato na kanda ya ziwa kwa ujumla.
StarTimes Tanzania,
Mlianza kuiondoa TV ONE mlipopigiwa simu mkasema kuna marekebisho mnafanya, mkaja mkaiondoa CLOUDS na chaneli zingine mlivyopigiwa jibu likawa lile kuna marekebisho mnafanya zitarudi lakini mpaka leo hazijarudi nini tatizo?
Rudisheni chaneli hizo pia ingizeni chanel E.
Habari Wakuu,
Kwa wataalam wa sheria naomba msaada wenu juu ya hii sheria inayohusiana na service levy.
Je ni nani ambaye anaingia katika kundi la kulipia hii service levy katika halmashauri husika?
Yaani mtu au Taasisi zinazo jishughurisha na nini hasa zinaingia katika kundi la kulipia aina...
Watanzania bado hawajamuelewa mkuu.
Ukweli ni kuwa jamaa anakosa seheme ya kupigia madongo yake na kujisifia kila siku kwahyo anachofanya ni kila baada ya siku kadhaa anateu mtu ili baada hapo anapowaapisha ndio unakuwa muda wake wa kuwajibu wakosoaji wake kwa hiyo kadri mnamvyomkosoa ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.