Search results

  1. lubangojoshua

    Wafukuzwa shule kwa kukamatwa na simu

    UONGOZI WA SHULE YA AZIMIO DODOMA AMBAYO IMEJIPATIA UMAARUFU KWA KUCHAPA VIBOKO WANAFUNZI, IMEWAFUKUZA SHULE WANAFUNZI WAFUATAO KWA KUWAKAMATA NA SIMU CHOONI WAKATI WA USIKU,na uongozi wa shule ulizivunja simu hizzo.MBELE YA MKUTANO WA WAZAZI. lea amosi zawadi mkola veronika john
  2. lubangojoshua

    Anamanisha nini mh rasta azizi

    anamanisha mh rasta azizi alipotumia maneno kama siasa za uchwala siasa za vijembe siasa za kupakana matope siasa za kinafiki
  3. lubangojoshua

    Sheria za serikali za mitaa*mamlaka za wilaya au miji)

    naomba msaada wa softi copy ya sheria hizo
  4. lubangojoshua

    Kulazimishwa kununua vifaa vya shule na mkurugenzi wao wa shule

    SHULE YA AZIMIO SEC YA MJINI DODOMA AMBAYO IMEJIZOLEA UMAARUFU KWA KUCHAPA WANAFUNZI VIBOKO MPAKA 48,NA KUPIGA NGUMI WANAFUNZI,MKURUGENZI WA SHULE HIYO AMEBUNI MRADI WA KUWALAZIMISHA WANAFUNZI WAKE KUNUNUA MABEGI YA DAFTARI,VIATU A UNIFORM KUZIPATA HAPO KWAKE KWA LAZIMA,kama huna hela...
  5. lubangojoshua

    Nyufa kubwa na mfumo mbaya wa maji taka vya hatarisha udom

    mmesahau majengo ya chuo cha sayansi ya computer hayo ndo balaaa kabisaaa
  6. lubangojoshua

    Ufisadi wa Sh48 bilioni waitikisa nchi

    Boniface Maana, Tunduru na Felix Mwagara UFISADI unaoonyesha kuwa zaidi ya Sh48 bilioni zimetafunwa na wajanja umeendelea kulitikisa taifa baada ya kampuni za kigeni kufungua kesi zikidai fidia ya Sh3 trilioni za fidia kutoka kwa wanunuzi wa pamba kwa kushindwa kutimiza masharti ya...
  7. lubangojoshua

    Naomba biologia itumike kueleza hatua za ukuaji wa wadudu na kujivua gamba???????

    Wakat nikiwa form three kama si form four huko kipoke sec,nilifndishwa jinsi kiumbe mdudu anavyokua,nikacholewa na GRAPH YAKE NI KAMA NGAZI VILE,HAPA NAOMBA MAELEZO KITAALAMU,na kwanini kujivua GAMBA??? NYOKA AKITOA GAMBA HAFI BALI LINAOTA JINGINE
  8. lubangojoshua

    Dozi ya viboko yaanza Dodoma shule za binafsi, kuanzia 9-33

    BAADHI YA WANAFUNZI wa shule ya secondary ya azimio wilayani dodoma mjini,iliyopo kata ya miyuji mtaa wa mathiasi,ambayo imejijengea umaarufu kwa kuzalisha div 3 TU KATIKA MATOKEO YA iv and ZERO ZA KUTOSHA , jANA MKURUGENZI WA SHULE HIYO MH KAMBI PAMOJA NA WALIMU WAKE, AMBAYE ALIKATAA...
  9. lubangojoshua

    Mgomo-informaics

    Jamani nimefatilia kwa umakini zaidi,kwamba vijana walitoa mapendekezo yao ya hela ya special faculty mbele ya waziri mkuu ambayo yalikuwa ni laki tatu na nusu,baada ya hapo waziri mkuu akawambia kuwa bila komputa mtakuwa hamjafanya chochote na ikumbukwe udom ina andaliwa kuwa center ya it east...
Back
Top Bottom