Search results

  1. K

    nimezaa na shemeji yangu

    hapana mme wangu wala kunitamkia tigo hajawahi na hata shemeji yangu tigo hajawahi,ndio mke mwenzangu anajua kuwa mie ni mke mwenzie,kuhusu hospitali prof kaisi alitupeleka ujerumani lakini hakuna mafanikio,hii ilinifanya nilale na shemeji yangu
  2. K

    nimezaa na shemeji yangu

    sawa mnayeniita mimi shetani ok lakini nasema kuwa huo ndio ukweli kwani mme wangu alikuwa hanizalishi na tokea nimezaa hajanikasirikia sasa sijui kama anajua au la na sasa na mimba na inaonekana wazi tu na huyu shemeji yangu kwa sasa anafundisha huko marekani na aliwahi kunialika nikaenda huko...
  3. K

    nimezaa na shemeji yangu

    hii ni habari ya kweli labisa na jamaa zangu nawaomba msinihukumu sana haya mambo yanatokea tu,mimi ninataka mtoto ningefanyaje sasa
  4. K

    nimezaa na shemeji yangu

    Jamani nimesoma koments zenu nawashukuru kwa wale walioninanga na wale walionionea huruma mimi na mme wangu.Nataka kufafanua mambo yafuatayo kwanza mimi ni mke wake wa ndoa wa 2 mkewe wa kwanza anaishi uarabuni.Prof Kaisi alituambia kuwa mme wangu mbegu zake zimeharibika maana alimfanyia sperm...
  5. K

    nimezaa na shemeji yangu

    Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini...
  6. K

    Duu!hi kali.

    Sasa haya katoa shikamoo we inakukera nini
Back
Top Bottom