Search results

  1. N

    njia panda msaada plz...

    dah hili suala limenigusa maana hata mimi niko km hii though yakwangu inahusisha kuacha kazi kabisa,ninachoshauri huyu mama atafute namna ya kuwaacha watoto kwenye mikono salama yaani ndugu yeyote ht hawa ambao soon watamaliza form 4 karibuni aje akae hapo kwake wakisaidiana na hg plus awe...
  2. N

    Kuna uhusiano wowote kati ya hawa?

    umeuliza swali zuri hata mimi several tyms huwa ninajiulza hilo swali so lets wait labda kuna watu watatupa majibu hapa
  3. N

    Niko sahihi au?

    Mi naona Salma kwakuwa mlifunga ndoa kanisani ni vyema ukawashirikisha viongozi wa kiroho katika hili suala lako aisee kwasababu kulingana na maelezo yako inaonekana wazi wewe na mumeo wote hampendi ndugu zenu wajue shida inayondelea katika familia yenu.Nakwakuwa we mwenyewe umekiri kwamba bado...
  4. N

    Ni ajabu na kweli: Was Gandhi Gay?

    Noreen mamady!!!!!!!!!!!! areeee bagandi....
  5. N

    Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na darasa la saba

    Ni vigumu sana kupima utu wa mtu kwa sura yake nzuri/mbaya aliyonayo lkn sometyms matendo yanaweza kukupa picha fulani japo si kwa aslimia mia,ukweli wa nani unayempenda wewe ndio unao ila kwaushauri tu ni kwamba dada uliyenaye sasa naonekana anakupenda kwa dhati na anauwezo mkubwa wa kukukubali...
  6. N

    Msaada kwa mkaka

    Mkaka mwizi akatae kuonyesha ndugu zake huyo mtoto vinginevyo ndoa ya mdada mwizi itavunjika!
  7. N

    Kama ungekuwa wewe ungemsaidiaje?

    Ach'aaaa tick' tick.
  8. N

    Demu kanitokea live, lkn hataki tu-do.

    Msubiri huyu dada mpaka wakati muafaka,kama ni ngumu mno na unampenda anza kuandaa utaratibu wa kumuoa mi naamini huyo mrembo si mbuzi kwenye gunia hata kidogo kwasababu zama hizi kuna baadhi ya mabinti wakiguswa tu wanakubali kufanya mapenzi kwakudhani ndio loophole ya kupata waume.
  9. N

    Enakuaje?

    We vipi mbona vitu vyote ulivyovitaja ni vya kawaida sana na wanawake wengi siku hizi wauwezo wa kuvimiliki kwa kujituma kwao tu sema wewe mwenyewe ndio bado mgeni navyo,pole sana.
  10. N

    Enakuaje?

    We vipi mbona hivi vitu ulivyovitaja ni vidogo sana! hizi ni zama nyingine mwanamke anauwezo wa kumiliki vyote kwa kujituma kwake tu sema wewe ndo unayeona vya ajabu.
  11. N

    Utambulisho

    Hodi hodi ndugu zangu waJF natumaini mtanipokea vyema jamvini asanteni.
  12. N

    Sasa Ni Too Much

    Ndugu yangu mi naona hao wamechanganyikiwa tu au wanazuga walikuwa na magonjwa mengine tu.
  13. N

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    Mi najiuliza huu utafiti ukichukua muda mrefu serikali itafanya nini si wangemwacha tu aendelee wakati wnao wanatafiti?
  14. N

    Utambulisho

    Naomba kutambulika rasmi kama mwenzenu hapa JF ninaimani kubwa kwamba nitapokelewa!!
Back
Top Bottom