Search results

  1. M

    Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

    Kabila la Wairaq haliwezi kupotea kwa sababu wapo kwa idadi ya kutosha kufanya viable sustainable population. Wanasayansi wana suggest minimum number of 500,000 individuals for sustainable population. Baadhi wamewqeka idadi hadi kufikia 500. Isitoshe sasa hivi wanajichanganya sana na makabilia...
  2. M

    TAKUKURU kuwasafisha akina-MKULLO?

    Mmmh Mimi nimemuelewa. Lakini loooH Jamaaa Mbona una roho ngumu. Umechoka kuishi uraiani?
  3. M

    Angalia hili shoga veterani !

    Hujafafanua kuhusu hiyo sifuri ameandika kwenye kiti akaikalia au vipi?
  4. M

    CHADEMA: Israel ituombe radhi

    Hiyo ndio taswira ya Tanzania kimataifa. Nafikiri kauli ya waziri wa Ulinzi wa Waziri wa Israel ametutanabahisha ni namna gani wanatufahamu. Sasa ni wajibu wetu kungalia tulipojikwaa na tusingalie tulipoangukia. Kuombwa radhi hakuwezi kujenga hadhi na hesshima ya Tanzania
  5. M

    Kwanini waislam wengi wanataka rais ajaye atoke Zanzibar?

    Inanishangaza Watanzania mnapandikizwa fikra za udini nanyi mnakubali na kujadili. Ilikuwa ni wajibu wa muwasilishaji wa mada hii kutupa facts za utafiti wake kabla ya kuanza kujadili. Waislamu wana midomo yao, wana uongozi wao ambao una wajibu wa kutoa mtazamo wa waislamu kuelekea uchaguzi wa...
  6. M

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    Ukijaribu kutoa hukumu katika mfarakano kwa ushahidi uliotolewa na upande mmoja utakuwa hufai kupewa uhakimu wa hata baraza la kata. Tumepata bahati ya kupata masikitiko ya mwanamke kupitiakwa muandishi thread hii, kwa bahati mbaya hatujapata na wala hatuwezi kupata maelezo ya mwanamume huyo...
  7. M

    Halima Mchuka hatunae duniani

    Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi Rajiuna
  8. M

    Haya mavazi jamani tuyachukulie tahadhari kwani yanatuharibu!

    Swali kama saizi ina matter wanaweza kulijibu vizuri zadi wanawake naomba volunteer miongoni mwao
  9. M

    Kwa Wenye Kumbukumbu ya Kuzama Meli ya MV Bukoba

    Wenyewe wa Unguja na Pemba wasema wao wameolewa bara. Kazi ya kutunza nyumba kazi ya mume, mke atachangia akipenda. Hii ni nukuu kutoka kwa rafiki yangu Osama mpemba.
  10. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Kwanza kabisa napenda kumpongeza mwandishi kwa kuwa jasiri wa kutoa hisia zake bila woga. Hisia zilizojikita zaidi katika itikadi yake ya chama. Lakini amekuwa mwalimu zaidi badala ya kuwa mwenye kujadili. Amejitahidi sana kuonyesha heshima zinapatikanaje. Tumemuelewa.Lakini wakati unaanzisha...
  11. M

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Mmezungumza yote lakini moja mmesahau. Julius kambarage Nyerere alitawala Tanzania ya watu wajinga kwa maana wasiokwenda shule na kwa sababu hiyo hakuwa challenged hata kidogo isipokuwa wachache sana wakina Kambona ambao waliona ubovu wa siasa ya ujamaa.mwl Nyerere wakati wote wa utawala wake...
  12. M

    Ni mkoa gani una maisha rahisi hapa Tz?

    Kigoma, Mgebuka buku, kamemelo (Unga wa kupima) Jero, mkaa jero,viungo jero. jumla buku mbili na jero
  13. M

    duh!! Huyu mwenzenu kanenepa au kavimba uso?

    Mwacheni mwenzenu yuko katika harakati za kuwakebehi masikini. cha kujiuliza ni kwamba katika mazingira hayo hapo alikuwa anafanya nini kwa hao masikini anawasumbua bure bora angeenda kuonyesha mashavu na manyonyo yake kwa anaofanana nao yaani mafisadi wenzake.
  14. M

    Msaada: Ni hatua gani za kuchukua ili mwajiri ajue kiwango chako halisi cha Elimu?

    Mheshimiwa Ngaliba dume unanishangaza kidogo unazungumza kama vile hujasoma kwa malengo. Uhasibu ni profession tofauti na ualimu. Kwa vyovyote vile hutaweza kufanya kazi yako au kupanda daraja ukiwaa mwalimu kwa kutumia cheti cha uhasibu. Kwa hali hiyo basi jitihada zako za kwanza ziwe ni...
  15. M

    Huyu George Maratu wa ITV style yake ya utangazaji ikoje?

    Wanaokera zaidi ni hao wasimamizi wa vipindi wanaomuachia aharibu lugha na kuingiza kikwao sijui wapi kule ?. Na mimi ni XYZ wa Makorongoniiiiiiiiiiiiiii
  16. M

    Tafsiri kwa Picha!

    Communication break down!!!1 this is what married couples should strive to avoid by all means, cos if you have ever heard of Sour life it begins like this and eventually become bitter life
  17. M

    The things women do.............(usihofu ni kiswahili)

    Ulijuaje au yamekukuta, uko mbali ningekupa 5, hiyo shortlist ya Things women do kama shirikishi vile kwa sababu kumpata mwanamke aliyekosa moja kati ya hayo tisa ni kazi kweli kweli. Yote uliyoyasema ni kweli na yanakatisha tamaa na kuwasononesha wanaume na wazazi wao. Lakini wanawake wanapaswa...
  18. M

    Ahukumiwa kwenda jela kwa kuuza kuku'VIBUDU'

    Kwa utaratibu huu kipindu pindu, Anthrax, TB vitaendela kutesa watanzania. halafu wana JF kwa nini ule nyama ambayo hujui imeandaliwa na nani katika mazingira gani na kwa utaratibu gani tusipoangalia uroho utamaliza watu.
  19. M

    '''''maajabu saba ya dunia''''''

    Nakuunga mkono, kiuno na miguu. Maajabu maajabu hilo la kutafuta umaarufu wa mlima Kilimanjaro kwa kura ndio maajabu, mlima wenyewe wameshindwa kuuhifadhi kina mangi wamemaliza misitu kwa kutafuta utajiri. Barafu inayeyuka mlima umebaki kipara bado tunataka uwe maajabu, Kwa nini tusirekebishe...
  20. M

    Sijui ni kweli.!!?

    Some how but cats and dogs use similar style. the commonly and famous dogie style.
Back
Top Bottom