Nimejiunga nami nyakanga wa jando babu kijana nimefurahi nami kuwepo kundini kwa wahenga wa jamii hii ni changa moto nipokeeni nami ni mmoja wa makungwi wazuri wa vijana wa kileo tuwaelimishe na tuwape misemo kama hii ''kama mvuvi vua usicheze na mashua''
mimi ni mtu mzuma mwenzenu nipokeeni kwenye jukwaa la madavidavi na majambozi nimepatataabu kujiunga na leo nimefanikiwa nipeni raha ,wana sema chokochoko mchokoe pweza
na wnasema KAMA MVUVI VUA USICHEZE NA MASHUA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.