Search results

  1. G

    Makomandoo wa Bongo

    Hao hapo
  2. G

    Over confidence ya wanaume wa kikurya inanivutia

    acha kujidai unajua vitu ambovyo hujui lakairo na wenje ni wakuria tangu lini, mimi nipohapa lakairo investment ni muhasibu, usidanganyewatu kwa kujidai unaujua sana mkoa wa mara,mimi mwenyewe ni mjaluo.
  3. G

    Kwa watumiaji wa huawei y300

    Tupa simu utapata presha bure
  4. G

    Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

    nahsi hicho chama kinawapiga m*ti
  5. G

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Tanzania is formed in one nineteen sixty four. Du kweli kihiyo hata kutaja tarakimu hajui hao wanafunzi alikua anawafundisha nini sasa?
  6. G

    Ni sites gani ntapata free PC software.nataka TALLY

    Chek na hyo Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site ​
  7. G

    Sheria Mpya ya Mafao Haiwagusi Wabunge na Viongozi Wengine Wakubwa?

    Wakuu serekali yetu sasaivi imeshazoea migomo ili ipige watu ikiona hakuna mgomo haijisikii raha sasa hapa wameona madaktari wametulia, wakachokoza walimu wameona kimya sasa wamegusa wote kwa ujumla, mi naona wanatupima nguvu au wanataka vyombo vya usalama vifanye mazoezi mana wamechoka na amani...
  8. G

    Sheria Mpya ya Mafao Haiwagusi Wabunge na Viongozi Wengine Wakubwa?

    Kaka mi ndio mana sipigi kura us.....nge mtupu, wote wapo kwa maslahi yao ukiona wanapiga kelele ujie kina kitu kinawabana na wao lakini vinavyotugusa sisi direct ambavyo havi influence maisha yao wanapiga kimya, jiulishe mbunge gani asiejua hili linatuumiza?
  9. G

    Riziwani Kikwete pole sana

    Acha kuleta mambo yako ya kujiona cdm ni chama cha wakristo tu umeanza kunitoa hata mimi kwenye cdm mana naona unaongea kama vile cdm ni chama cha kanisa waislam hawatakiwi, rekebisha lugha yako inaonekana we ni ccm umetumwa kututenga! kicha chako hakiko sawa.
  10. G

    Chaneli mpya ya star tv

    ipo kwenye majaribio muda si mrefu itakuwa released
  11. G

    Star time

    Man nipe hiyo stail ya kuchakachua star times
  12. G

    Star time

    Wadau nipen hiyo stail ya uchakachuaji wa star times
  13. G

    Modem za tiGO zina chakachulika?

    wazee shwali?nani kapata server no mpya za zntel?
Back
Top Bottom