Lara u know how to make a hit. Daaah
Lindaaaa anabweteka tu kama godoro hata hana juhudi kama za Anny. Haya chacha kazi ya mic ataiweza.
Mwee saa 5 kesho mbona mbali sana
Heshima yako Lara duuh hii story tamu sana.
HOM ana represent wakaka wengi maofisini wanao take advantage of naive girls kama Linda. Ila kanyosha Linda ingawa akili bado haijamkaa sawa
Kilichobakia ni kumfundisha Mangi kuvaa classic, lol maana kwenye mengine alikuwa first learner. Si kwa tumbo lile la kuhara na kudamka alfajiri kukimbia wajibu[emoji2]
Haaa haaa by the sitamsahau Mangi kamwe, he is a fighter. Alikuja kufanya the unexpected.
KLM ndio star of the game, he knows what he wants and know how to get it in his own way and style. What a great man. Sisca got what she wanted but not in her way, better know the devil to never cross his...
Asante sana Lara 1 kwa kunirudisha JF kwa story hii baada ya miaka mingi. Yapo mengi ya kujifunza.
Ndoa au harusi a bold question,
Angy is an iron Lady aisee, hadi kapata true happy ending
Si kwa utamu wa story hii kwe kweli. Weee weka tu mambo, kukesha tutakesha, kudamka tutadamka na makazini tutaiba muda wa mwajiri tu maana hakuna namna nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.