Search results

  1. Msanii

    Kila mwaka tunaazimisha siku ya madaraka ya Rais. Je hiki ni kipaumbele kipya

    Kizazi hiki tunachoishi sisi hatutaweza na tusitarajie. Tunaweka misingi ya wajukuu zetu kuja kufanya mabadiliko
  2. Msanii

    Kila mwaka tunaazimisha siku ya madaraka ya Rais. Je hiki ni kipaumbele kipya

    Kufanya kosa hakurekebishi makosa ya awali.... Tunawaondoa kwa sanduku la kura na kuirejesha nchi kwenye misingi yake
  3. Msanii

    Kila mwaka tunaazimisha siku ya madaraka ya Rais. Je hiki ni kipaumbele kipya

    Kabla haujauvamia mtumbwi hakikisha unawamudu vibwengo wake
  4. Msanii

    Tuwe makini sana na simu, sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Wiki mbili zilizopita simu yangu ilipost pisi kali kama nne hivi zimekaa kihasara kwenye Whatsapp ya ujirani hapa kwetu. Yaani hizi tachi ukiziweka mfukoni na haujaweka screenlock unaweza hata kukuta imeandika talaka na kuituma ukweni
  5. Msanii

    Kila mwaka tunaazimisha siku ya madaraka ya Rais. Je hiki ni kipaumbele kipya

    Hao wanaogharimia hizi events ambazo zinachukua sura ya kitaifa ni akina nani? Wanafaidikaje?
  6. Msanii

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kama serikali haihusiki na mauaji ya watu holela mpaka leo tungeshawafahamu waliompiga risasi Tundu Lisu. Pia hata Ben Saanane tungeshajua hatima yake. Ndugu yangu, tunaposema serikali hatumaanishi vitengo vyote. bali ushiriki wa wenye mamlaka na wenye uwezo wa kukomesha haya matukio.
  7. Msanii

    Kila mwaka tunaazimisha siku ya madaraka ya Rais. Je hiki ni kipaumbele kipya

    Kila mwaka tangu mpendwa wetu ashike madaraka ya uraisi kumekuwa na maadhimisho ya kuazimisha madaraka yake. Je, haya mabango, matangazo kwenye vyombo vya habari, Makongamano na dhifa zinazoandaliwa zipo kwenye bajeti ya serikali au kuna wafadhili wenye moyo mwema wanaochangia gharama za...
  8. Msanii

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kwa maneno yako mwenyewe unakiri ninachosimamia kwenye hoja yangu. Nchi imekosa weledi. Ukijifanya mwema wanakuua
  9. Msanii

    Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    Kuna mtu amelalamika hapa jukwaani kuuliza hela zimeenda wapi? NAdhani hapa jibu linaweza kupatikana...
  10. Msanii

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Mwangosi alifanywa nini na nani? Unakumbuka Kamuhanda alishatoa neno kabla ya yale mauaji? Akwilina aliuawa kwa risasi ya polisi. Niambie lengo la risasi ya moto kwenye ile issue ambayo raia hawana silaha na risasi ikampiga Akwilina akiwa ndani ya daladala akiwa ahusiki na maandamano...
  11. Msanii

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Ndugu yangu Serikali hii ambayo haijali hali za raia wake usidhani kama huu uchungu tunaouona hapa kwa hao wenye mamlaka yaani wakubwa wa polisi na watawala haupo kwa kuwa mhanga hana udugu nao. Tumuombee mtanzania mwenzetu kama hajakutwa na baya basi ashtakiwe na kuhukumiwa kwa haki ili sheria...
  12. Msanii

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Ni kipengele kipi cha sheria unasindikiza na hii hoja yako? Au kuna hukumu ya kifo imeshatolewa na mahakama kisha rais ameshaisaini na polisi wametumwa kuitekeleza? Nyie wauaji mnaotumwa na serikali msidhani mtabaki salama tukisharejea kwenye utawala wa katiba na sheria
  13. Msanii

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Hata ukatae vipi. Haya matukio yanajirudia rudia na hakuna anayewajibika. Huko juu wapo bize kupanga safu wala hawana muhaka na haya madudu yanayoendelea. Kununua simu ya wizi ina penal code yake. Kwa nini polisi wajitwalie sheria? IGP analea huu uhuni anapaswa kuzingatia jukumu la Kikatiba na...
  14. Msanii

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Is simple polisi watakuwa wamemuua ama kumjumuisha na kesi za kubambika zisizo na dhamana. Tanzania ipo sasa imewekwa mikononi mwa watu wasiozingatia Utawala wa Katiba na Sheria
  15. Msanii

    Katiba yetu ya leo inakosa MAMLAKA ya kuwajibisha. Katiba inapaswa kuunda Taasisi imara na siyo kinga kwa viongozi wasiowajibika ipasavyo

    Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria za Jamhuri ya Muungano.) Bunge letu linapokea na kupitisha kwa mbwembwe miswada yote ambayo ina...
  16. Msanii

    Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Usijisahulishe kuwa nchi hii kila kitu ni SIRI hususan vile vinavyogusa maisha ya watu.... Ndo maana hata kashkash za Msumbiji huzisikii. Itafika muda tutakuwa na KATIBA yetu sisi wananchi maana iliyopo leo ni nyenzo ya watawala kuapa nayo kisha wanajifanyia watakavyo hata kuipuuza katiba...
  17. Msanii

    Kwa hii mikakati ya Bananga sidhani kama Wapinzani watashinda hata Mtaa mmoja hapa DSM Mwezi October!

    Shetani huwa na vishawishi vingi sana ili watu waendelee kumuamini awaumize
Back
Top Bottom