Search results

  1. Kyalow

    Jamani, huwa mnapumzika wapi mkiwa Dar?

    Mpeleke Ras Kiroko
  2. Kyalow

    Nimeambiwa Wajukuu hawaruhusiwi kurithi nifanyeje?

    Hao aliotumia majina yao Mahakama ikiwataka waje mahakamani je? Mshauri atafute Wakili.
  3. Kyalow

    Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Ndio maana hata hadithi zake hauzikubali...kesho karibu kwenye mkesha Bibie!!
  4. Kyalow

    Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Nimemuona pia yupo na mchepuko wake na akula bata vizuri ila wewe ukienda na mchepuko wako huko unakula viboko...Ronaldo yupo juu ya dini ya Mudi
  5. Kyalow

    Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Mimi kila nikipata nafasi huwa namsujudia Mungu wangu...kwakua Mimi sijashikwa akili kama wewe kwakua umekimbia maswali
  6. Kyalow

    Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Kwahiyo Mudi aliukuta Ukristo ? 25000q mnakili vizuri Dada yako... Tukiwaambia Wakatoliki waliunda Uislam msikatae hadi Mudi kapewa binti aoe
  7. Kyalow

    Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Wewe mbona unazikaa Hadithi za Mudi?
  8. Kyalow

    Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Hata wayahudi husujudu usiwe kipofu wa dini.
  9. Kyalow

    Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    Utumbo wa Mbuzi ule ulioungana na kitabu...ndani una wekundu fulani hivii supu yake sio ya nchi hii
  10. Kyalow

    Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    Pole sana Mungu akuepushe na yote mabaya katika Jina la Yesu.
  11. Kyalow

    Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

    Mimi natamani katika sehemu ambazo nisikose kuzi tembelea na familia yangu kabla sijafariki ni Athens Wagiriki wenyewe wanapaita Athena.
  12. Kyalow

    Kiteto: Tembo wamtoa utumbo aliyetaka kupiga nao ‘selfie’

    Yule ni Zero brain...namkubali sana mikasa yake!!
  13. Kyalow

    Mama Sinyali Boss la Kariakoo

    Hizo damu za hayo makabila!!
  14. Kyalow

    CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

    Kikwete alienda kubusu Pete ya Papa picha zipo huku Jf
  15. Kyalow

    Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino, Hayati Magufuli hakutendewa haki

    Pengine kule kumsifia ilikua ni hulka yake
Back
Top Bottom