Search results

  1. J

    Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

    auae kwa upanga atakufa kwa upanga yesu alisema, kaz kwenu polisi na mahakama, mkishindwa bac MUNGU wetu atafanya jambo
  2. J

    Anataka tufanye mapenzi kabla ya ndoa

    a person who cant consder others feelings is not a right person!!!! fanya maamuzi muhim
  3. J

    Wakina Dada Embu Acheni Hii Tabia...Inakera Mno

    pole sana ndugu yangu, hebu nenda kanisani utapata mke mwema
  4. J

    Barua ya Shukrani toka kwa CHADEMA kwa Wananchi kufanikisha USHINDI kata ya IYELA na kufuta DENI

    tutachanga mijihera lakn mtuhakikishie ushindi na 2015
  5. J

    ipi unaifagilia?

    namba 1 na 3 ni bombaaaaaaa
  6. J

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    wao wana srikali sisi tuna sir GOD,
  7. J

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    kaka hatuchomoki mtandaoni mpaka kieleweke, lete mambo
  8. J

    MKUTANO MKUBWA: Ni wa Walimu wote Tanzania

    taarifa yako ni ngumu kuiamini lakn ina mashiko, wale wa huku niliko tuonane tuliunge mtindo mmojaaaaaa
  9. J

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    mawazo chanya sema 2 hawezi kuyaelewa kwani haelewi
  10. J

    M4C mbona Biharamulo hatuwaoni

    wananchi wa wilaya ya biharamulo maarufu kama bia na mulo, iliyoko kagera jimbo la mh Mbasa, tunapenda sana kuwaona majembe wa m4c kutoka chama makini sana CDM wakifika kufanya mkutano na wanachama wake ili kuimarisha chama, Tumechoka na utawala dharimu wa chama cha magamba. plz warm welcom
  11. J

    Tazama picha na linganisha na kauli ya Nchemba kuwa elimu nchini imekuwa!

    na alaaniwe mtu yeyote anaye watesa watoto hawa
  12. J

    Tazama picha na linganisha na kauli ya Nchemba kuwa elimu nchini imekuwa!

    tanzania bila mwigulu inawezekana,kaza buti twende
  13. J

    Walimu wa degree na diploma ajira lini?

    waungwana naomba kwa mwenye habari ya kuaminika anisaidie kunijulisha juu ya ajira kwa walimu wa sekondary ni lini? Pia naomba mwenye kuweza nisaidia kupata shule ya kufundisha hapa mjini anisaidie contact ili ni apply kwani nimemaliza shahada ya ualimu mwezi july mpaka sasa sijapata kazi...
  14. J

    Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

    kwan vp ukioa wote watatu! Nahis ndo dawa
Back
Top Bottom