Search results

  1. sambenet

    Je keygen, crack na hacking hutumiwaje?

    Ingekuwa vizuri kama ungeweka screen shot kama alivyokushauri Mchangiaji hapo, Kukusaidi ni vigumu bila hizo shots
  2. sambenet

    Msaada kuhusu blackberry@verizon wireless

    Hio operamini bila ya internet utaitia vipi, bado hujashauri kitu hapo, weka model number ya sim nijaribu kukusaidia
  3. sambenet

    Msaada: External harddisk haidetect

    Nikuulize swali hapo, Ni hard disk ndogo ya Laptop au kubwa? je iko detected? kama iko detected je ukiifungua inakupa msg gani? je kuna indicator yoyote inakuonyesha kuwa inapokea power? kama haiwi detected itakuwa imefanya crack kwenye circuit yake ilioshikiliwa na cable,
  4. sambenet

    Wanawake huzeeka haraka kabla ya wanaume (maranyingi)

    Hebu Lizzy cheki hizi sababu kutokana na utafiti uliofanywa na ushahidi wa kisayansi, Shifting Bones While females are usually dubbed the more ‘fairer, beautiful sex’ males are the winners when it comes to ageing of the facial bones. Using CT scans of 100 men and women, researchers at the...
  5. sambenet

    Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Mkuu umemaliza kila kitu, maana hakuna alogusia points hizi. utake usitake mshadede ulichezewa utasimama tu haijalishi unataka au hutaki. Kutokana na msisimko wa touching, teasing and so on.
  6. sambenet

    NDOA: Zamani vs Siku hizi

    Tatizo hizi zinazoitwa Women rights zimeingilia mpaka mambo ya watu ya kidini pia, ndio maana wengine wanazipinga usiseme kuwa hazina tatizo lolote.
  7. sambenet

    NDOA: Zamani vs Siku hizi

    Kuna swala nikuulize hapo kwnye kuoana, nnavojua kwenye usilam kijana wa kiume anapoozeshwa huambiwa " UMEKUBALI KUMUOA FULANI BINTI FULANI and so on" hakuna kitu mnaona, Je hii ibadilike nayo au imekaaje?
  8. sambenet

    mpezi wa zamani anajirudi

    sasa mtu akiwa na kibamia tatizo, akiwa na oversize pia tatizo, mambo haya yakoje?
  9. sambenet

    Kwa wanaume tuu.... Ushauri wenu tafadhali

    Uko sahihi kaka, ila watu wanfanya makosa makubwa kuangalia uzuri wa nje na urembo, mwisho wa siku ni kilio.
  10. sambenet

    Ndoa bila PMU inawezekana?

    ni sawa ila unapewa mzigo sio wa kwako kwa kutaka hio so called testing, imekaaje hio?
  11. sambenet

    Ndoa bila PMU inawezekana?

    Wengine wanakuja na gia hio ya kuoa na mahari wanatoa ila akisha shake well anakupotezea tu, maana wengine wagumu kutoa mzigo mpaka aone amelipiwa mahari sio.
  12. sambenet

    Ndoa bila PMU inawezekana?

    Ngoja nikuombee dua halafu upate huo mtihani tuone itakuwaje reaction yako
  13. sambenet

    Ndoa bila PMU inawezekana?

    Kwa hio Mungu aliposema usifunje amri sita hii imekaaje? Mungu hajui kama una malengo na akasema usizini? na Huyu asiozaa ataolewaje? Je ni sababu tosha ya kutozaa ivunje uchumba? Mapenzi yana nafasi gani hapo? Ikiwa ni wewe inakutokea hio huzai unaachwa na mchumba wako utajiskiaje? Think abou...
  14. sambenet

    Msaada: Huyu Binti haelewi nia ya baba yake

    Umeshanisemea FF, ila kama Huyo Dada hajali dini yake na hafuati mafundisho na yuko tayari siku ya siku akajibu hilo Swala Mbele ya muumba wake basi muache wacha aendelee tu. Halkadhalika na huyo kaka je Jee dini yake inamruhusu kufanya hivyo. mabinti na Vijana wa kiume wacheni kuwakwaza wazee...
  15. sambenet

    Je hili linawezekana?

    Mkuu naona umeshanisemea tayari, ila naongezea na kusisitiza tu awe muwazi likija suala la la historia yake kimapenzi. Na usikubali kutoa mzigo kirahisi maana baada ya mda itakuwa kila anaekuja japo ni mdanganyifu unampa mzigo, na hilo litakuja kukukosti mbeleni na utajutia.
  16. sambenet

    14 Surprising Facts about Marriage, Affairs & Divorce

    Du, kama hizo takwimu ni za kweli ni hatari
  17. sambenet

    kati ya mwanamke na mwanaume nani.......

    Na hapo ndo matatizo yanapoanzia kwenye mahusiano, kwani kuna shida gani to be your self? Kama huna ni huna tu.
  18. sambenet

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Usichukulie kirahisi hivyo. Dini mtu hujifunza tangu mtoto na kuna mafunzo ya jinsi ya kumlea mtoto, huwezi kusema akikua ndo achague, inamaana akikua ndo aanze from scratch?
  19. sambenet

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    kwa ufupi kuhusu kuingia kwa Uislam Tanzania kwenye karne ya 10 Zanzibar na Tanganyika karne ya 14 ulikuwa ushaenea tayari Mwambao wa Tanzania na baadhi ya maeneo ya ndani. Uliletwa na kutokana na biashara na wafanya biashara kutoka Bara Asia na arab, Persia wakati huomikiitwa. Kwa maelezo zaidi...
  20. sambenet

    Bora niwe mpweke

    Nina kama 30 kwa sasa na nilichelewa kutokana na kujufanya kuwa busy na masomo ila elimu haina mwisho, nikaamua kujitsfutia wangu wa ubani ila ndo hivyo tena nimeangukia pua. sina ham kabisa.
Back
Top Bottom