Search results

  1. Habdavi

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Inside the cockpit
  2. Habdavi

    Waziri Mwigulu: Tanzania inakopa kwa Sababu ina Uwezo wa kulipa

    Wenye kukopesha ndio watz wenye miliki ya rasilimali za nchi, wengine ni wasindikizaji tu. Huo ndio ukweli
  3. Habdavi

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    90s music reminiscing
  4. Habdavi

    TBL kumteua Mzungu kuwa MD ni sababu hakuna wazawa wanaoweza kuongoza TBL?

    ABInBev ndiyo wenye hisa nyingi hivyo nafasi za kuteua yaani veto power wanayo kubwa hivyo usitegemee kuona mmbongo hapo.
  5. Habdavi

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    A common pattern they use; *seduce *manipulate *control (give up your powers) They have no strength as men do, so the easiest way is to use them through their weaknesses. Refer to the case of Samson and Delilah.
  6. Habdavi

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    They are easily manipulated
  7. Habdavi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Most likely itakuwa food allergy. Nipo hapa ndio najaribu kusoma mitandaoni kuhusu hili.
  8. Habdavi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ugali na samaki. Samaki wa maji chumvi ila jina lake sijalipata bado
  9. Habdavi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ahsante Mkuu. Nahisi ni kitu nimekula maana kifua kimebana siyo kawaida
  10. Habdavi

    JamiiForums Usiku wa manane

    3:27 naumwa nimeshindwa kulala
  11. Habdavi

    Ludovick Utouh: Tusijikombe sana, fedha ni za Umma sio za Rais

    Fedha ni za umma kweli lakini katiba imemmpa mamlaka na nguvu za kisheria, kuwa mdhamini wa fedha za umma. Exchequer account na BOT vipo chini ya uangalizi wake.
  12. Habdavi

    Kama Wakenya wameweza, sisi tunashindwa kwenda kujifunza kwao?

    Kuna haja ya kuwa na kampuni ambayo italipia vibali vyote na kusimamia ubora wa bidhaa na kutafuta masoko ya nje. Commission % inakuwa source of revenue.
  13. Habdavi

    Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

    Uzi huu bila mrejesho wa huyo unayemtafuta hautanoga. Baada ya siku tatu ulizotangaza usisahau kutupa mrejesho.
Back
Top Bottom