Search results

  1. K

    Hukumu ambayo haijawahi kutokea

    Ndugu yangu, Hiyo ni amri tu ya Mahakama na si hukumu. Lakini pia katika Majaji vilaza ambao nafikiri Lissu anaweza pia kuwa amewaongelea katika ile hotuba yake ni huyu Jaji Chinguwile,tangu akiwa High Court Land division alikuwa kituko,si tu kwenye maamuzi anayoyafikia bali pia namna ya hukumu...
  2. K

    AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

    wana jf, tatizo la watanzania ni kutaka kutokusema ukweli na hivyo kuukwepa. Heri yake tundu lissu aliyeisema hiyo kweli maana kwa kuisema kwake hiyo kweli hakika nafsi yake itaendelea kuwa huru. Sisi tulioko kwenye tasnia hii ya sheria tunajua. Kuna majaji kwa kweli mpaka...
  3. K

    Uchaguzi Mdogo Jimbo la Sumbawanga Kitendawili

    Wakuu wa JF, To cut the long story short, I was in court this morning (High Court Dar es Salaam District Registry) and I was able to meet Adv. Nassoro, who represented Hillary in the High Court case in Sumbawanga. He told me that yesterday they lodged their appeal before the Court. So let us...
  4. K

    Mwisho wa Kufikiri kwa Watawala wetu ndiyo Huu

    Nikiwa nimesafiri usiku wa jana kuja Mza, nimefuatilia kwa karibu sana sakata la Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha Samson Maingu Mwigamba ambaye leo amepelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akishitakiwa kwa makosa mawili, kosa la Uhaini na kosa la Uchochezi. Nimetafakari sana uwezo wa...
  5. K

    Polisi na ukatili wa kutisha Igunga na Dar

    Nimeliona tukio hilo kupitia taarifa ya habari ITV,TBC1, Channel 10 na pia Mlimani TV. Ni tukio la udhalilishaji kwa mwanamke. Kama sitamsikia yule Mbunge wa CCM aliyejitokeza mbele ya waandishi wa habari na kuiomba TAWLA ichukue hatua juu ya viongozi wa Chadema kufuatia kumkamata mhalifu (Mkuu...
  6. K

    Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

    Wana JF, Taarifa niliyoipata hivi punde ni kwamba wapambanaji wa Chadema, Meneja wa Kampeni Sylivester Kasulumbayi (MB) na Suzan Kiwanga (MB)waliokuwa wamekamatwa kwa hila na polisi wa magamba wameachiwa huko Tabora na sasa muelekeo ni kwenye uwanja wa mapambani Igunga, Hakuna kulala mpaka...
  7. K

    CCM maji shingoni Igunga

    Ndugu wana JF, Ni usiku wa saa nne kwa hapa Tz ninapoandika ujumbe huu. Nimeongea na jamaa yangu ambaye ni askari polisi ambaye kwa sasa yupo Igunga. Tathmini aliyoitoa n kwamba CCM hali yao ni mbaya sana Igunga na hivyo kwa sasa wanajiandaa kwa hali na mali washirikiane na jeshi la polisi...
  8. K

    Nyumba ya kupanga

    Kuna nyumba iko Sea View, Upanga, mpangaji aliyemo anamaliza muda wake tarehe 31 Oktober 2011. Kama uko interested write me via mnakujmb@live.com, will take you there, rent as it stands is USD 900 per month
  9. K

    TCU & HESLB na "Amount of Loan" mbona siwaelewi?

    Wana JF, Yaani ni vichekesho tupu TCU. Kuna mtoto tunatoka naye kijiji kimoja,amechaguliwa kwenda KIU kusoma kozi ambayo hata yeye hakuiomba,mbaya zaidi HAKUPEWA MKOPO HATA SENTI MOJA LICHA YA KUWA MAMA NA BABA YAKE WOTE NI WAKULIMA WA JEMBE LA MKONO,na hata katika kumpeleka mtoto huyo A Level...
  10. K

    Nchimbi asema Big Brother ni kero

    Wana JF, Kinachofanywa na Nchimbi ni hadaa na hii inadhihirisha ulehelege wa Serikali iliyopo madarakani na ambayo imekosa mwelekea kwa kutojua inatoka wapi na inaelekea wapi. Kwa kumbukumbu zangu, miaka michache iliyopita, chini ya raisi huyuhuyu, na Wizara hiyohiyo, waziri wa wizara hiyo Mohd...
  11. K

    Anuani ya Niras Finland

    Wana JF, Kuna nafasi ya kazi (Land Registration Advisor) imetangazwa na Niras Finland na kituo cha kazi kitakuwa huko Zanzibar. Mwenye kujua anuani yao tafadhali naomba aweke humu ili niweze kuomba maana nimejaribu kufungua ili niombe online bila mafanikio Nawasilisha
  12. K

    Wanamagamba na watetezi wao waanza kuchanganyikiwa!

    Kwenye ile barua ya David Jairo kuna sehemu anasema "Kama ilivyo kawaida wakati wa kuwasilisha bajeti...", inaonekana CCM has had a practice of bribing theirs MPs kupitisha bajeti za kijinga ili wakati wao wakinufaika,watanzania tulio wengi tunazidi kutaabika. Enough is enough,let us do all that...
  13. K

    Uchaguzi IFM wavurugika,vyama vya siasa vyahusishwa

    Wakuu JF,uchaguzi uliokuwa umepangwa ufanyike leo tar 16 June 2011,umeahirishwa baada ya mgombea nafasi ya uenyekiti ya tume ya uchaguzi wa serikali ya wanafuzi aliyeshindwa kwenda mahakamani kuchukua pingamizi kwa madai kuwa hakutendewa haki. Anadai kuwa yeye ndo alipaswa kuwa mwenyekiti wa...
  14. K

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    Wana JF, Namfahamu sana Hakimu Ruboroga ambaye anaiendesha kesi hiyo inayowahusu wapigania uhuru wa kweli wa nchi yetu. Alikuwa ni moja ya vilaza wakubwa katika darasa lao, mwendo wake ulikuwa ni ku clear kwa B plain au C, na alipomaliza mwaka wa nne bila kuwa na supplementary, alikwenda...
  15. K

    Kazi ya January Makamba alipokuwa Msaidizi wa Rais

    Wana JF, Jana nilipokuwa nimetoka kwa ajili ya chakula cha mchana,nikiwa maeneo ya Survey nakula,nilikaa jirani na majamaa wawili. Kwa hakika nilikuwa naweza kusikia mazungumzo yao. Aliyekuwa mzungumzaji mkuu alikuwa akimwambia mwenzake kuwa anamfahamu sana January Makamba kwani amekuwa rafiki...
  16. K

    CCM kujivua gamba; (DC Urambo Ana Magoa) sasa hakuna ajira kwa CHADEMA serikalini

    Wana JF, CCM wanazidi kujipandikizia chuki kwa wananchi wake. Haya anayoyasema huyu ndugu yangu hapa kuhusu kunyimwa ajira kwa kuwa tu muombaji ni Mwana CDM nayo yamemtokea jamaa yangu ambaye yuko kwenye mchakato huohuo wa vijana kuingia JKT.Dogo baada ya kuandika barua yake ya maombi...
  17. K

    Us embassy na vioja vya baadhi ya wafanyakazi

    Pole sana Mwanamapinduzi, Matatizo hayo yapo sana kwenye balozi za wageni zilizopo nchini. Mimi mwenyewe nimeshakumbana na matatizo kama hayo kwenye Ubalozi wa India hapa nchini. Japo langu halikuwa la kazi.Suala langu lilikuwa kuomba nafasi na udhamini wa kwenda kusoma Shahada ya Uzamili...
  18. K

    Washa Taa Mchana (HODi)

    Nyakarungu, Ni mwanzo mzuri kupigania health rights. Nadhani ninaweza pia saidia kwa njia moja au nyingine kufanikisha malengo ya NGO hiyo. Tuwasiliane kupitia abilaiabilai@live.com
  19. K

    Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

    Huko ni kutapatapa kwa viongozi wa CCM. Dr. Slaa amekuwa siku zote mwiba mkali katika kupambana na ufisadi si kwa maneno tu bali kwa vitendo. Mapambano haya yamekuwapo hata kabla CCM hawajivua gamba. Madai ya Nape yanahitaji uthibitisho kutoka kwake yeye mwenyewe na si Dr. Slaa, kwani the...
  20. K

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Shitambala ameingia kwenye orodha ya wanasiasa ambao Mheshimiwa FT Sumaye anawaita "wanasiasa maslahi" ambao wamechangia kuiua ccm. Huu ni ushahidi tosha wa kimazingira kuwa huyo bwana kwa kufuata maslahi hayahaya aliuza jimbo uchaguzi wa 2010. Kweli nimeamini Chadema ni chama makini, yaani naye...
Back
Top Bottom