Search results

  1. A

    Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

    Tatizo mnajifanya nyie ni kina "kj"..... mnyika akitoka hamjui majimbo mawili mshayakosa? ama hamjui la ubungo mshalikosa tayari?
  2. A

    NEC: Watanzania wote watapiga kura popote walipo Tanzania ilimradi uwe na kadi (IMEKANUSHWA)

    Naona mwaka huu serikali ya Ccm imeamua kuwaziba mikono kila upande.....ibakie lile lalamiko lenu ambalo halizibiki la "tumeibiwa kura"
  3. A

    Kikwete ndio aliyempigia simu Magufuli akachukue fomu ya Urais

    watu wajanja ndivyo walivyo magufuli aliye waziri machachari ati unasema hana confidence? subiri utaona macofi yake kama huon maconfi yake....
  4. A

    Tume ya uchaguzi

    tatizo lenu mnajichechetua mno.....kura mtashindwa kwa uhalali kabisaaaa....na mnalijua kabisa,ila kujifanya kichwa maji tu kwamba ati mtashinda.... oka tunalolisubiria hivi sasa toka kwenu ni milalamo kwamba mmeibiwa kura
  5. A

    CHADEMA imejiua yenyewe haijauawa na CCM

    ninadhani kwamba ni ccm ndio wameiua chadema...kwa sababu katika vita,upande mmoja ukizidiwa na mashambulizi basi unaweza ukajikuta unafanya mambo ambayo yanaweza kumshangaza kila mtu kwa jinsi jambo lilivyo la maamuzi yasiyo mazuri....ni sawa na chadema...kwamba mashambulizi ya ccm yamewafanya...
  6. A

    Big up UKAWA! Mmebadili mwelekeo wa upepo wa siasa za nchi hii ghafla

    tatizo ni kwamba huu muungano ulianzia na masuala yasiyo hitaji "kujitoa"...mambo yanayohitaji kupiga mdomo sana kuhusu kuilaani na kuilalamikia ccm. Sasa hivi,ndio test kweli ya ukawa,kwani wanachotakiwa wakiongee na waelewane ni kuhusu kupata na kupoteza.....mambo ya kizalendo,mambo ya...
  7. A

    Lucas Selelii ajiunga CHADEMA, kugombea Ubunge Nzega

    kumbe mnaelewa kwamba sababu kubwa inayowafanywa mshindwe kuiondoa ccm ni kule kutokuungana kwenu,lakini huwa mnatuaminisha sababu ni kuibiwa kura. mwaka huu sijui mtatoka na sababu gani
  8. A

    Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

    ukitaka kujua ni watu gani waliompigia kura mchungaji ile 2010,angalia kura za urais iringa mjini nani alishinda.....hivi unadhani kuna mwanachadema aliyeweza kujitolea kumpigia kikwete urais badala ya slaa mwaka ule?
  9. A

    Magufuli, hotuba hizi za aliselema hazijengi chochote!

    Si kweli...wewe ni muongo sema hupendezwi na staili yake ya kutafuta kura na nikwambie...staili yake hii ni nzuri... kwani ni staili ya kupandisha emotions...ni staili ya kupandisha munkari... hebu fikiria siku aamue kutoka na wimbo wa alinselema alija kuanzia ubungo mpaka tiptop mpaka magomeni...
  10. A

    Magufuli na CCM Mpasukwa, Lowassa na Matumaini, na Nyota ya CHADEMA

    Kwa wale wanaotaka mabadiliko ya kweli CDM na washiriki wake wanatakiwa kujionesha wanaelewa kadi walizonazo mkononi na ni zamu yao kucheza kwani za CCM tumeziona zilivyochezwa na wamebaki na magarasa tu. Ni wakati wa CDM kuita "Last Card". MMM MwanaKijiji... sisi wengine tunao elewa vema...
  11. A

    CCM ivunjike tu

    , uzuri wa huyo mwenyekiti anakuua huku anakuchekea
  12. A

    Tume ya Upwaguzi: Eti huyu kajiandikisha mara mbili kwa BVR?

    1.Hivi lengo la BVR ni nini? 2.Je,zoezi la kupiga kura litakuwaje-hasa njia itakayotumika katika kuthibitisha kwa vekline mwankenja hapigi kura mara 2? 3.kama fingerprint ndio itakuwa entrance point ya utambulisho,unadhani mwankenja atakuwa na fingeprints za aina 2? 4.Hii ni alert kwamba...
  13. A

    Mchakato wa uteuzi ndani ya CCM: Timu Lowassa nambari wani!

    ndugu yangu..... unamkumbuka Samuel Sita spika mwenye ubora wa viwango aliondolewa na ccm ipi//? unamkumbuka yule mzee mhuni mhuni aliyekuwa katibu mkuu wa ccm akatolewa na akawekwa huyu kinana.....ni ccm ya lini ile ilikuwa? kwa mifano hiyo miwili,nadhani unaelewa vema ninachotaka kusisitiza...
  14. A

    Dar es Salaam yapangiwa siku 12 za kuandikisha wapiga kura

    kwa mfano,hata ukichukulia kwamba ziletwe machine 3000 kwa wakati huo,na kila siku machine moja iandikishe watu 100,utaona kwamba unahitaji siku 12 hizo kuandikisha'''''.........sasa assume zikawa 4000(achilia mbali hizo 4000 zingine) itakuwa hivi 4000 x 100=400,000 kwa siku ninadhani siku hizo...
  15. A

    Rais Kikwete asaini mswada wa sheria ya mitandao na kuwa SHERIA RASMI

    [QUOT Kifungu tata cha sheria hii ni kile kinachomuweka mpokeaji wa ujumbe na mtazamaji tu kama mtuhumiwa. Hivyo mathalan Anna Makinda alipopokea matusi kwa njia ya sms kama atafanya hivyo kwa sasa atakuwa mtuhumiwa! ! SIO KWELI WATU MMEAMUA KUJITOA UFAHAMU ATI HATA KUPOKEA UJUMBE UNAKUWA...
  16. A

    Sherehe za Mei Mosi Kitaifa Jijini Mwanza tarehe 01/05/2015

    Unajua kuna tatizo moja- Watu wanapenda haki bila kuwajibika. sasa huyo anasema rais wake mpumbavu,ati ni uhuru wake wa kutoa habari. okey fine----ni uhuru wake lakini,ni lazima awe tayari kuwajibika kwa uhuru wake huo NA HAPO NDIO INAKUJA SHIDA.....WENGI WANAOPINGA MSWADA WA SHERIA YA HABARI...
  17. A

    Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    leo asubuhi nimesikia iko kwenye 1800 mbona? ikabidi niende bot website pia,nikaona hivi FX rates for 30/Apr/2015 Unit Buying Selling USD: 181,990.10 183,810.00 Euro: 200,534.89 202,577.00 GBP: 279,700.58 282,589.49 KES: 1,926.84 1,944.05...
Back
Top Bottom