Search results

  1. C

    Mauaji ya Bulyanhulu yaleta Debate kali Norway

    CCM kila siku wanakataa juu ya haya mauaji lakini pia hawatakai kuchunguza .Je hawa wananchi nao ni waongo au mimi ndiye sijaelewa kitu hapa ?
  2. C

    CCM London na viongozi wao

    Tanzanianjema jamaa wanasema Rorya alijiondoa mwenyewe kisa kumwachia Sarungi na hakutoka mkuku kama ulivyosema .Hebu tetea kauli yako .Je alitondoa nduki Rorya kivipi ?Kwa sababu ipi ?
  3. C

    Zimbabwe Election: Progress & Results

    Gembe na CCM yenu bwana .Morgan anaitwa Kibaraka ? Hivi halisi ya Zimb hamuioni ?
  4. C

    CCM London na viongozi wao

    Hili ndilo la msingi kuanzia mwanzo .Owino aje aseme watu wamwangukie maana inaonekana huyu wanasema ni mchafu hafai hata kuaminiwa jamaa ananipa sms hapa .Nimemuuliza uchafu wake upi kasema aliina pesa za Chuo na Daruso wakamtoa nguruba .Kiasi gani hajasema .Sasa wacha tungoje anasemaje mwenyewe .
  5. C

    Zimbabwe Election: Progress & Results

    Ndiyo Dunia itajua kwamba haki hakuna Zimb na yeye hawezi kwenda kufungua kesi SA wakati mambo yametokea Zimb .Naona mmemsakama Seif na kwenda Ulaya leo Morgan mlitaka afanyeje ?
  6. C

    CCM London na viongozi wao

    Baada ya madai haya makubwa nakubaliana nawe Moshe.Maneno aliyoyasema GT ndiyo hasa ukweli na siku zote UK imekuwa na mambo mengi .Chunguza vyema utagundua zaidi ya haya .JK hata kama akijua yeye anapenda sifa na sijui kama anaweza kusema lolote .Kashindwa EPA , Mwafaka ataweza kweli haya ya...
  7. C

    Matatizo ya wabunge wa kuteuliwa!

    Rais anaweza kuwaacha watu kumi na kupeleka muswada wa kuwapata mawaziri wasio Wabunge ili waweze kukaliwa vyema kooni.Hili ni jambo muhimu sana kama tunataka kuchapa kazi na kulijenga Taifa .Mie nalia sana na hizi za rais zina kasoro kubwa hata kama lengo ni zuri lakini sasa anaweka washikaji...
  8. C

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    Tina Mbowe kesha nieleza soma habari ziko hapa then tia akili uone lipi ni la kweli . Hapa kuna siasa kibao na si deni la mwaka 1990 .Walikuwa wapi kuandika kuanzia muda huo ?Alipoa 15m amelipa hadi sasa 75m unasemaje ?
  9. C

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    *Asema watakaoifilisi ni makada wa CCM Na Said Mwishehe MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe, amekiri kudaiwa fedha na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), lakini akakana tuhuma kuwa mkopo aliochukua ndio unalifilisi shirika hilo. Pia...
  10. C

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    na Salehe Mohamed MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema watu wanaotaka kumtisha kwa kutumia deni lenye utata ambalo moja ya kampuni zake ilikopa miaka 18 iliyopita, wanajidanganya na kamwe hawawezi kusababisha akatetereka. Mbowe alitoa kauli hiyo...
  11. C

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    JF is only where we dare to talk openly .Hata kwa kumwaga ushahidi ndiyo penyewe.Mimina ushahidi tuendelee kumkoma Nyani.
  12. C

    The case against MUSTAFA MKULLO

    Pundit mbona haya maneno ni mazito sana hata sijui nianzie wapi kusoma .Nimeona leo NSSF wanakimbia wenyewe lakini nadhani walidhani ni lele Mama .Mkullo kweli kanunua MBA na bingwa wa kulala na Visungura matope ?
  13. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Kuna habariinasema majeshi yataanza uvamizi leo ama kesho .Tena si kulinda amani kama alivyosema Membe .Sasa hawa wamekufa kwa hali ya hewa ama kitu gani kimewaua ?
  14. C

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    Sasa nangoja watetezi wa Masha waje waseme inakuwaje mtu msomi na mwandilifu hawezi kusoma alama za nyakati kwa kutetea uozo.I hope polisi hawataanza kuzunguka pale kujua nani alianza kuzomea ili wamkamate .Ni aibu kubwa hii
  15. C

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    Yamekuwa haya tena ? Haya wale wenye kuchonga mpo ?
  16. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Haya sasa wacha serikalio iendelee kuwatunza familia zao .Mimi I warned you over the weekend mkaja na maneno meengi eti kulinda amani .Membe unalinda amani na kutaka kumkamata mtuhumiwa ?Wacha tuendelee kuzika sasa then tuta hoji .Wabunge wa Upinzani na Watanzania amke mkatae haya .
  17. C

    Waziri aliyeachwa atoboa siri nzito EPA

    JK tangia mwanzo nilijua ni archtec wa EPA.He knew well baada ya kwenfa Paris Club na akajua wapi pa kuchotea .Hakuna wa kuondolewa kwenye hili .Kama ni kweli wayasemayo na yeye hakujua basi awakamate maana ushahidi upo na kesi iende Mahakamani kuna shida gani na yeye ndite Amiri Jeshi mkuu ?
  18. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Tanzanai we fought Idd Amin simplu because Obote was a chosen guy by Mwalimu then vita ikaleta balaa Tanzania hadi sasa.Comoro sasa tuna anza kusema tunalinda amani the same time kuna maneno kwamba ametakiwa ku surrender na wanaenda kumkamata apelekwe Mahakamani . Kuna ukwel upi hapa ?
  19. C

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    Gembe rudia kusoma na usitafute nafasi ya kukwepa hili .Baada ya kusema Serikali iko wazi ndipo akaanza kuzomewa.Yaani baada ya hilo tamko tu basi akazomewa na si wakati mwingine wowote .Naomba rudi usome tafadhali .
  20. C

    JK Ateua Makamishna wa Tume ya Haki za binadamu

    Niliwahi kupeleka malamiko yangu kwenye Tume hiyo chini ya Kisanga kama sikosei ikawa shida kubwa .Hawajali na wanasema niende mkoani nikabebe faili niwapelekee .Nikashangaa sana hadi leo hii .
Back
Top Bottom