Search results

  1. stratex

    Biashara ya utumwa wa Wahindi YASHAMIRI Tanzania

    Nimepata taarifa za kuaminika kwamba kuna wahindi wengi wanaingizwa nchini kutoka India kutumika kama watumwa. Wahindi hawa wanarundikwa kwenye majengo (kama mazao yaliotoka shamba) kabla ya kusambazwa kwenye viwanda vingi vilivyo sehemu mabli mbali nchini, ikiwemo Bagamoyo. Katika mmoja ya...
  2. stratex

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    nani aliewaambia waifunge ZeUTAMU.? kuna watu wengine wako addicted na internet, wenyewe kila siku walikua wanakesha zeUtamu. Baada ya serikali kuifunga ilibidi watafute sehemu nyengine, JF. Huyo consultant kwenye mapendekezo yake itabidi akishauri chama kurudisha zeUtamu haraka sana, nadhani...
  3. stratex

    UVCCM: Rostam anyang'anywe uraia na kufukuzwa nchini

    na kweli, watakua wametumwa hawa, hatoki mtu, kwanza wachukue passport yake kabisa ..hatoki mtu, wasije wakaleta story za Balali, oh sijui tukimtaka tutamrudisha, mara sijui amekufa.......HATUDANGANYIKI!
  4. stratex

    UVCCM: Rostam anyang'anywe uraia na kufukuzwa nchini

    kwanini afukuzwe? kwani jela za Tanzania zimejaa?
  5. stratex

    Lowassa ni pandikizo la JK kwenye list ya mafisadi

    tatizo uswahiba unawasumbua....mimi hata sikuona haja ya chama kumuweka JK kama mgombea 2005, sioni sababu ya Makamba kuwa katibu Mkuu, wote hawa uwezo wao kwenye hizo nyadhifa ni mdogo sana! kuna "machine" nyingi tu ndani ya chama ambazo wangeziweka na zikafanya kazi nzuri tu. Tatizo fedha...
  6. stratex

    Lowassa ni pandikizo la JK kwenye list ya mafisadi

    Kuna tetesi kwamba baada ya Chama Tawala kuona RA anatafuna kila senti ya serikali na wananchi wake kwa manufaa yake binafsi bila kugawana "kikamilifu" na wenzake, huku Chama kikichukua LAWAMA zote na yeye akiendelea kudunda bila wasiwasi, chuki na wivu dhidi yake imefanya chama kifanye maamuzi...
  7. stratex

    Kuondolewa kwa Lowassa, Chenge na RA - CCM na hatima yake na yao

    kama akiweza kuweka viongozi wa jeshi mfukoni akisaidiwa na Chenge na RA basi JK anakazi nzito. Atajikuta kabaki na green guards na chipukizi wa chama kumlinda!
  8. stratex

    Kuondolewa kwa Lowassa, Chenge na RA - CCM na hatima yake na yao

    Chenge mchango wake ni mdogo sana, anajua kuchota zaidi ya kusaidia chama kujihimarisha, RA kwa upande mwingine ni mzee wa mikakati (mingi ni ya wizi). RA amekuwepo kwenye kila wizi mkubwa hapa nchini, ninapo msifu mimi , amejitahidi kuhusisha watu tofauti kwenye kila deal, kuanzia EL (Richmond)...
  9. stratex

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    basi wananchi kwenye jimbo lake ndio wamemtuma na hao ndio wakumhadhibu!
  10. stratex

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    hali ya kisiasa nchini ni tete sana. Baada ya uchaguzi wa 2015 tutajua tunelekea wapi! sasa hivi hatujui mchezo gani tunachezewa na CCM. JK anasema hili , RA kupitia magazeti yake tunasikia jengine. Sitashangaa kukuta ni mchezo ambao JK , EL na RA waliupanga muda mrefu tu. Sisi ndio damu imewaka...
  11. stratex

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    Wawakilishi wetu, naomba mtumie busara. Najua mnalipwa mishahara mikubwa tu, lakini tumieni muda wenu vizuri. Sisi wananchi tunaumia sana na haya maisha!
  12. stratex

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    siasa zitatumaliza! tuwe waangalifu, ila udini hauna nafasi penye haki, huwezi ukachonganisha watu kwenye mambo ya udini kama kuna haki, mwisho wa siku ukiona umeonewa utaenda mahakamani na kupata haki yako, ila kwa hali ya sasa hivi ambapo mahakama zinatawaliwa na rushwa , hakuna haki yoyote...
Back
Top Bottom