Search results

  1. abusaadalbusaid

    MJI WA Dar es salaam, City Center MWAKA 1887

    Hakuna uhakika na ukweli wowote wa kuwa hiyo ndio picha ya Dar.
  2. abusaadalbusaid

    Nahitaj wazo lako ktk hili!

    Ukifanya hivyo lazima madhara yatakuja maana hilo sio jambo la kawaida kabisa na wataalamu wamethibitisha kuwa yako madhara na kwa hivyo usijaribu kufanya hivyo kabisa ukiwa na busara
  3. abusaadalbusaid

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Ndugu unatakiwa ugeuze baadhi ya vyakula na vinywaji au uongozee baadhi yake ili upate wateja zaidi na pia ni uzuri kutizama migahawa ilioko kabli yako wanatumia mbinu gani ili kupasi kuchukuwa ujuzi wao ila pia pengine sehemu wenyewe inawezekana kuwa si ya kuvutia kabisa kwa hivyo ndugu...
  4. abusaadalbusaid

    Happy birthday!

    I wish you & all you family to be happy at all time & always
  5. abusaadalbusaid

    Need a girl friend

    Kaka umepata huyo mchumba unaemtafuta au bado uko katika kutafuta kwa nini huingii katika yahoo na Gogle ukafanya search pengine unweza kupata mara moja
  6. abusaadalbusaid

    Need a girl friend

    tafuta anaeweza kukufaa na kukufahamu na kufahamumazingira yako hapo kama unataka kumuowa awe aiana yeyote mwarabu mhindi mswahili na wengineo desnt matter kama unataka kuowa au sivyo ombi lako halina maana wala mpango
  7. abusaadalbusaid

    Hello

    nawashukuru wote wanaowasiliana nami sasa hivi kwa njia yeyote wanaopenda na kila mmoja achukuwe uhuru wake
  8. abusaadalbusaid

    Hello

    haihitaji kila mmoja yuku huru kutaka kutumia hiyo e-mail au la hiyo ni shauri yako kwa hivyo wewe uko huru amua unavyopenda si zaidi - ahsante
  9. abusaadalbusaid

    Hello

    tuzidi kuwasiliana nu kupeana mawazo na fikira ambazo zitatuwa mazingira ya maisha yetu
  10. abusaadalbusaid

    Hello

    MIMI MWENZENU TUWASILIANE KWA E-MAIL YANGY HII abusaadalbusaidi@yahoo.com
Back
Top Bottom