Kila mtu anayo haki ya kufa au kuishi! Kufungia watu kwa kisingizio cha Corona kama mataifa mengi yanavyofanya kwa kutumia mabavu ndio jambo baya zaidi! Tuliongozwa vyema sana na JPM vita ya Corona
CCM inahitaji tathmini kubwa, hasa ni namna gani polisi wanashughulika na watu, TRA na wafanyabiashara, serikali na sera za kodi, watumishi wa umma wamekaa kimya lakini wana hasira sana sijui serikali itaiondoaje (mishahara duni, bodi ya mikopo, utumishi na vyeo), wakulima ndio hao wanatiwa...
Namuonea huruma lakini nadhani ni bora akarudi chuoni kufundisha tu!Unazidiwa vipi na Ayo tv, global tv etc kwenye kurusha live broadcast?Wametumia kiasi gani kuboresha matangazo yao hao wengine ambacho TBC hawana!Sijui ana lugha gani ya kuwaeleza watz. Kama vifaa vipo na tatizo ni warushaji wa...
Naamini hawa waliopewa dhamana wanatakiwa kuchukua hatua kwa kiasi na sio kufanya mambo kama "festival".Ukaguzi wa namna hii hauwezi kuwa endelevu ni usumbufu usio na tija kwa taifa na raia wake. wanapunguza furaha ya raia kwa sababu nyepesi. Kama ulivyosema sitashangaa kama ajali zikiongezeka...
Jeshi la polisi limeamua kuingia barabarani na mtaani (kama oparesheni) kukamata magari mabovu, yenye hitilafu na madereva/wamiliki wake katika juhudi za kupunguza wimbi la ajali zinazotokea nchini. Pamoja na nia njema ya jambo hili, lazima ifahamike kwamba kutakuwa na mtikisiko wa mapato na...
Mifano michache ya Maprofesor kutoka SUA. Fungua hizo link
Siza D. Tumbo - Google Scholar Citations
Japhet J. Kashaigili - Google Scholar Citations
Maulid Walad Mwatawala - Google Scholar Citations
Geoffrey Mrema - Google Scholar Citations
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.