Search results

  1. Crystal

    Je? Chadema mko tayari kurudi CCM kama haya yatafanyika?

    Haturudi nyuma kamwe!!!!CCM ni ya kuzika na kuisahau!!!
  2. Crystal

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Na akome!atajuuuuta kudandia jahazi linalozama!!!
  3. Crystal

    Zitto amjia juu Waziri Mkuu: Aandika barua kuhoji matumizi ya "Stimulus Package"

    Bravo Zitto my friend,i am always proud of you!way to go......! Ni aibu sana kwa waziri mkuu kuendelea kutoa majibu yasiyo na maana katika mambo nyeti yahusuyo mstakabali wa nchi!waziri mkuu hajui kwa nini wananchi wake ni masikini,waziri mkuu hana taarifa ya CAG inayohoji ubadhilifu wa...
  4. Crystal

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Pasco hapo kwa red umesema vema kabisa!na hii ndio sababu haswaa ya watu kumfikiria vibaya Zitto kumbe ni vile tu hawamuelewi.niliwahi kusema hapa kuwa mimi sijawahi kupoteza imani kwa Zitto sababu namuelewa na najua ni kiongozi makini.nikashambuliwa!ila pole pole watamuelewa tu.
  5. Crystal

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    dah!kaaazi kweli kweli!
  6. Crystal

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    hahahahahahah!nani anataka kuaibika na swali la nyongeza????chezea ngeli wewe?full adabu hapo!
  7. Crystal

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    na wewe kajifunze kiswahili kwanza!
  8. Crystal

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    hahahahahahahahahahahahah!lugha ya watu jamaniiii!angalieni msivunjiane heshima mjengoni jamani!
  9. Crystal

    Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

    Dah!ukisikia muda wa kushikana uchawi CCM ndo huu sasa!
  10. Crystal

    Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

    Really?????like he is the only one missing!!!!
  11. Crystal

    In love with two guys...advice please!

    habari wapendwa wanajamvi, naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to...
  12. Crystal

    Godbless Lema kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA

    Naomba utoe ushahidi wa usaliti wa Zitto,tatizo watu kama wewe hamumuelewi Zitto na mindset yake.he is different,he does not share a common mindset na watu wengi na ndio maana mnamuona msaliti and all that,ila truth ni kwamba Zitto is a great leader na true revolutionary who speaks his mind and...
  13. Crystal

    MB Zitto Kabwe na ripoti 2 za uchungu kwa sisi Watanzania!

    Nimekupata Kagemro, namfahamu Zitto,pamoja na kuwa mtu mwenye utata, lakini his strong suit ni kuwa kiongozi muwajibikaji na ni mzalendo.nashukuru kwa kuniunga mkono na kwa rai uliyotoa kwa Zitto, amepata ujumbe coz nimemuona akibrouse hii thread!pamoja!
  14. Crystal

    MB Zitto Kabwe na ripoti 2 za uchungu kwa sisi Watanzania!

    Kagemro mimi naamini anafanya haya kwa maslahi ya taifa na si binafsi.tatizo tulishajenga imani ya "Zitto anatumiwa na CCM" na hatutaki kubadili fikra hizo kwa lolote lile hata Zitto angefanya nini.labda alitumiwa mimi sijui lakini cha msingi ni kumuunga mkono pale anapotetea maslahi ya taifa,je...
  15. Crystal

    MB Zitto Kabwe na ripoti 2 za uchungu kwa sisi Watanzania!

    MTM sidhani kama hii ni kujipigia pande ama kuongeza value,naona kama kuna nia ya dhati hapo kupigania haki na maendeleo ya taifa.tusubiri tuone mwisho wake.i think the old Zitto is coming back!!au we unaonaje?
  16. Crystal

    MB Zitto Kabwe na ripoti 2 za uchungu kwa sisi Watanzania!

    I never lost faith in Zitto kwa sababu najua despite everything Zitto anao uchungu na nchi yake!hongera kwa kazi nzuri na endelea kufichua maovu ya utawala unaojali maslahi binafsi!Mungu akulinde!
  17. Crystal

    Mbunge mwenye uchungu wa kweli

    Wenje amesema atasomesha watoto 100 (primary level) jimboni kwake!
  18. Crystal

    EU: CHADEMA funding claim a lie

    haya sasa yameanza kuwatokea puani,mkome kuropoka ropoka tu bila sababu!alafu na mmekosea njia kweli kwenda EU! haya mama jiandae na defense maana ushaanza kukana maneno yako mwenyewe.kaaazi kwelikweli.Cheap politics zinawaumbua sasa!
  19. Crystal

    Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

    Naona sasa siasa za nchi hii zinaenda kwa majungu tu.yani kila siku ni habari za chama hiki kimesema hili kuhusu chama kile.sasa huyu Lipumba nae ndio anajishushia hadhi kabisa,badala ya kuongea mambo ya msingi anabaki kujiropokea zilipendwa tu,mambo yasiyo na maana.sasa kuichafua chadema...
Back
Top Bottom