Search results

  1. franktemu123

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Mkuu hii Lazima itakua intercontinental unapasua mabara mengine ya Afrika kama si Australia huko basi itakua mbali sana
  2. franktemu123

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sawa Lissu kulamba asali?
  3. franktemu123

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Itungwe Sheria kila mwanafunzi wa chuo iwe Lazima kupanda ndege kabla ya kuhitimu.
  4. franktemu123

    Ubora na udhaifu wa Suzuki Jimmy Wide

    wanastahili, meya tu anatembelea V8 latest. Makusanyo ya kinondoni si ya mchezo. Huwez kulinganisha na halmashauri yenu ya Ikwiriri
  5. franktemu123

    Nani alimuua Samora Machel?

    Hongera Sana Che
  6. franktemu123

    Ubora na udhaifu wa Suzuki Jimmy Wide

    Bei yake inakaribia bajeti ya halmashauri ya Kaliua.
  7. franktemu123

    Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Wamepelekewa Chalamila awavushe 2 Dubai.
  8. franktemu123

    Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

    Jembe Lina mantiki kuzidi hivyo Viwanda Uturuki
  9. franktemu123

    Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

    Mmmh pole Sana ndugu
  10. franktemu123

    Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

    Karani anawaza posho zake. Akununulie jembe?
  11. franktemu123

    TX Vs TXL (Landcruiser)?

    Landcruiser TX hata TXL mkataba.
  12. franktemu123

    Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

    Hata China walianza na jembe la mkono. Asante
Back
Top Bottom