Deadline 30.06.2021
Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda...
Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
Nahisi haujajibu hoja hats moja aidha kwa kushindwa kuzielewa, kudharau taratibu za kisheria na kkkayiba tulizojiwekea ama unatumika na mabeberu maana unaweza kujibu hoja zote wewe ndionunapiga majungu Paschal uko zaid ya hili, maana whistleblowing ndio inamwimpeach Trump au Tanzania sharia...
To:
Minister of Labor,
The United Republic of Tanzania,
Prime Minister's office,
Labor, Youth, Employment and Persons with disabilities,
P. O Box 2890,
Dodoma.
28th November 2019
Dear Sirs,
RE: ESCALTION ON GOING FORGED WORK PERMIT BY Mr. LUIS EDUARDO FEDRIANI – VODACOM Plc EMPLOYEE
Refer to...
Good point; Dk wa ajabu, alishaikana PHD pale alipoandika thesis akiomba kuwepo na serikali tatu lakini yeye akageuka ktk bunge la katiba nafikiri so far hazifanyo vema sana
Shitaka hili inabidi kuwa makini; wanamchonganisha
1. Aonekane anachochea dini hatafaa ktk TLS- ni shitaka la kichafuzi na kidini kidini
2. Huenda kutokana na shitaka hilo kwa kuwa ni la kikatiba, kimaadili, huenda akafunguliwa injuction ya uchaguzi ili asigombee;
check all options; mimi...
Andiko sahihi sana; tunashukuru sana mzee MMM ametuabisha sana mwaka 2016; umekuwa mwaka mbaya sana kwetu maana anatetea uharibifu wa demokrasia kwa mapenzi ya kutumbua majipu ambapo kila akitumubua majipu yalikuwa hayatumbuki; kwa utafiti tu ni kuwa hata wale aliowatumbua wote wapo wanaliopwa...
Mwanakijiji, wakati tunaanza awamu ya tano; na mpaka sasa ukiacha thread hii, umekuwa mstari wa mbele kila wananchi walipolalamika dhidi ya matumizi ya mabavu kwa raia wasio na hatia ikiwemo swala la mikutano, kujumuika na mengineyo ambayo ukawa wameyasimamia bila kuchoka wewe uliwapinga kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.