Search results

  1. GODLIVER CHARLE

    DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

    Mangi Horombo kweli alikuwa mrefu Sana lakini haimaanishi kwamba alikuwa mnefili. Maana angekuwa mnefili maana yake Ni kwamba hata katika kizazi chake wangekuweko wanefili. Ikiwa Ni pamoja na sisi tuliochimbukia kwake.
  2. GODLIVER CHARLE

    Tujifunze kichagga (kinyumbani) hata kama tunaishi ugenini

    Ni fursa kama unaweza wewe andika wanunuzi wapo.
  3. GODLIVER CHARLE

    Tujifunze kichagga (kinyumbani) hata kama tunaishi ugenini

    Kutokusema hakufuti kabila la wachagga kuwepo, wala wasukuma, wala wapare, wala wanyakyusa n.k. haya makabila yoote na mengine yapo Tanzania.... wala kujifunza kilugha cha kabila si vita wala si ukabila. Nadhani unahitaji tu uelewa mdogona tena hauhitaji kwenda shule ili kutofautisha ukabila na...
  4. GODLIVER CHARLE

    Tujifunze kichagga (kinyumbani) hata kama tunaishi ugenini

    LUGHA YETU UTAMADUNI WETU Naomba nitoe wito kwa wachagga wote wanaojua kichagga watufundishe kichagga na watutengenezee mada kabisa. Ikiwa utakuwa unafundisha Kirombo useme unachofundisha ni kirombo Ikiwa unafundisha Kimarangu au kimachame useme unafundisha kichagga cha wapi ili kila mchagga...
  5. GODLIVER CHARLE

    Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

    POLE SANA, HATA MIMI NILIACHWA NA BINTI NILIYEMPENDA SANA, SABABU YA KUWA NA BASTOLA KUBWA.... ILA YEYE ALINIAMBIA UKWELI ASINGEWEZA KUSTAHIMILI MAANA TULIKUTANA MARA MBILI TUU LAKINI KILA NIKIJARIBU MWENZANGU ANAUMIA.... HADI SASA SIJAMPATA BADO NINAYEMPENDA MWENYE SIFA NAZOZITAKA KWA KWELI.
  6. GODLIVER CHARLE

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Duh!!! Monicca... umemaliza...... this is quite fact. Anayeweza kubishana na huu ukweli itabidi ajiangalie mara saba saba... kwa kweli linapokuja suala la ngono sijui wanaume hapa wameumbwaje..? kutekwa kirahisi kabisa. Na kama unataka hata mwanaume akutunze kwa kwa kila kitu huhitaji hata...
  7. GODLIVER CHARLE

    Laki nne anasema ni ndogo kwake na haimtoshi,hataki kazi hii,hii imekaaje ndugu??

    Wabongo tuache kujirahisisha. Eti kwa kuwa kazi ngumu basi ukiambiwa upewe kazi ya laki nne hata kama haiendani na elimu yako ukubali tu. tusiwe na mitizamo finyu namna hiyo. Find where you deserve and accept what you deserve. Stop undermining yourself, your status and insulting your education...
  8. GODLIVER CHARLE

    Eti anataka kuona, hii imekaaje wadau.

    Hahahahaaaaaa..... mimi csemi kwa leo...
  9. GODLIVER CHARLE

    wanaume piteni hapa....

    kwa bahati nzuri haitokuja kutokea mwanaume kuwa mwanamke kwa asili... Labda awe shogo... Hivyo kufikiri kuwa mwanamke hizo ni sawa na njozi za usiku... Cha msingi ni kukemea tabia usizopenda mkeo akufanyi tena ukizingatia kwamba si kila kibaya uschopenda mkeo au dem wako akufanyie na mwingine...
  10. GODLIVER CHARLE

    Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

    nilikwishaandika siku moja kwamba wazinzi na waasherati ndio ambao hawataki wapenzi/wachumba/waume/wake zao washike simu zao!!!! KIJANA AKILI KUMKICHWA... ila kama na wewe hutaki simu yako ashike... this means na wewe ni wale wale waasherati na wazinz sasa naye labda analipizia kisasi ili ujue...
  11. GODLIVER CHARLE

    Hii sms nimeikuta kwenye simu ya mpenzi wangu

    WALE WOTE WASIOTAKA WAPENZI WAO WASHIKE WALA KUPEKUA SIMU ZAO SIO WAAMINIFU KABSAAAA!!!! AWE MWANAUME AU MWANA DADA KWANI KAMA NYINYI NI WAPENZI/WACHUMBA/WANDANDOA NI MWILI MMOJA, WENYE KUNIA MAMOJA, WENYE KULINDANA NA KUTUNZIANA SIRI N.K. ILA KWA VILE WENGI WENU MMETAWALIWA NA UWASHERATI NA...
  12. GODLIVER CHARLE

    Why do Girls hate dating short guys.....

    You should not think narrow like that BUT ALSO you should expand your mental ability of thinking at least to this extent that "why do men/boys hate dating with women/girls taller than them?" if you get the answer for this qn then obvious vice-versa will be true.
  13. GODLIVER CHARLE

    Kudeka na Kuringa

    kwa upande wangu mimi kudeka ni ishara ya upendo na mapenzi, kuringa kunategemea ni kuringa kwa namna gani, ila KUDEKA HATA MIMI NAPENDA MKE NITAKAYEMPATA AWE ANADEKA DEKA KIDOGO... Ebo!! Kudeka NI ILE HALI YA MTU KUJISIKIA KWA MTU ANAYEMPENDA NA KUONA KWAMBA AKIMWAMBIA KITU AU AKIMWOMBA JAMBO...
  14. GODLIVER CHARLE

    Hivi wadada mko je jamani? Mwanitisha.....!!

    mimi naona kuna ukweli kwamba hamna cha ajabu LAKINI pia naona kama ni njia mojawapo ya wadada kutuzuga. MAANA unaweza kukuta kaseviwa JACKLINE kumbe ni JACKSON... then ndo katumia msg "usijali beib" n.k
  15. GODLIVER CHARLE

    Hivi wadada mko je jamani? Mwanitisha.....!!

    Hi ndg zanguni wana Jf. Basi jioni ya leo nilikuwa na rafiki yangu, mara punde ikaingia msg kutoka kwa mchumba wake (wa kike) ikisomeka hivi "poa usijali mungu atakutangulia baby" ghafla rafiki yangu akabadilika ghafla naye kumuuliza kulikoni ndo akanionesha hiyo msg. Nikamuuliza tatizo ni nini...
  16. GODLIVER CHARLE

    Ukimpa Binti Ujauzito ni Lazima Umuoe?

    yamkini unanikana kwa sababu uko na wanaume wengi hivyo hujui ni nani kakupa mimba so lazima unikane usijeumbuka bure mtoto akizaliwa wamtu mwingine.
  17. GODLIVER CHARLE

    VACANCY: For anyone girl who qualified to be wife material

    mode of application please..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  18. GODLIVER CHARLE

    Ukome tena ukome kuniita mimi mkeo balazuri mkubwa!!

    MAWILI: 1. Yawezekana binti katongozwa na mwanaume mwingine ambaye hampendi na mwanaume akawa ni king'ang'anizi akaanza kumwita "mke wangu" sasa ktk kuonesha msimamamo na kumjibu akakosea namba na kumtumia mchumba ake huyo. 2. Yawezekana yuko na mwanaume mwingine ambaye alimtongoza na binti...
Back
Top Bottom