Search results

  1. domo bwakubwaku

    Uchaguzi wa Meya Dar: Isaya C. Mwita(CHADEMA) aibuka mshindi

    Tuwekeeni CV yake huyu meya wetu ili tumfahamu vizuri
  2. domo bwakubwaku

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    2010 pale sokoine mbeya ze komedi waliposhuka tuu jukwaani mlangoni watu wanakanyagana kuishia mitini ikabidi Jk anyang'anye mic kwa mc na kuwaamuru ze komedi warudi jukwaani wakakaaa mpaka akamaliza kuhutubia
  3. domo bwakubwaku

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Fisiemu siku zote ni kama tikiti maji nje kijani nfani nyekundu teh teh
  4. domo bwakubwaku

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kwa elfu kumi kumi na elfu tano tano mbona hadi UKAWA walichangamkia tenda
  5. domo bwakubwaku

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ya kichina hii jana mdogo wangu kapiga 30,000/- alikua anapanda UDA anapewa 5000/- akifika jangwani anageuza anapanda tena mpaka saa tisa akaenda zake coco beach kujiburudisha wajinga ndio waliwao
  6. domo bwakubwaku

    Laurean Rugambwa - Mkurugenzi Mkuu wa MSD Mteule wa Rais

    Huihui kwani we ulikua unamtaka nani?
  7. domo bwakubwaku

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Polepole kama alivyo ana agenda yake binafsi kwa kisingizio cha wanachi teh teh ni nani asiyejua kama bila ya Mkapa, Pombe asingekatiza
  8. domo bwakubwaku

    Akiba Commercial Bank na Manager asiyetumia akili

    Ni pm no yako hiyo clip nimrushie director wake
  9. domo bwakubwaku

    Msigwa afunika Iringa Mjini

    Msigwa anatasha Mwakalebela za uso tu
  10. domo bwakubwaku

    Show room za magari nafuu DSM ziko wapi

    Okay hapo nimekuelewa nahifadhi namba yako ipo cku utanifaaa
  11. domo bwakubwaku

    Show room za magari nafuu DSM ziko wapi

    wewe ni dalali kwanini usiitaje kwa manufaa ya wote mpaka akupigie
  12. domo bwakubwaku

    John Mnyika - Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA asiye na maadili

    Komba aliposema Warioba ni mzee anakaribia kufa halikua tatizo sasa kafa yeye mnajishebedua tu hapa
  13. domo bwakubwaku

    John Mnyika - Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA asiye na maadili

    Hivi Nape na Myika nani kaunhaunga sana elimu
  14. domo bwakubwaku

    Shule walizosoma Mkapa, Spika Makinda kufungwa

    Ooopss my goodness enzi zetu ndanda tulikua na shamba kule liputu tulijitosheleza kwa chakula sasa ni magofu tu nakulilia ndanda
  15. domo bwakubwaku

    Viwanja vinauzwa

    Kila kimoja 20 mil
  16. domo bwakubwaku

    Viwanja vinauzwa

    Kwa wale wanaohitaji viwanja nauza viko viwili kila kimoja kina ukubwa wa sqm 630 vimepakana viko buyuni jirani na nyumba za PSPF kwa mawasiliano piga 0715504121
  17. domo bwakubwaku

    Sengerema: Fransico Kimasa Shejamabu ajiunga CHADEMA, Kugombea Ubunge

    Hakuna kitu hapo tusha muandaa kijana wetu Robert Massala
  18. domo bwakubwaku

    Naomba mnijuze CV ya ADEN RAGE

    Rage alishalilia mwanamke pale four ways ambaye alikua mwanafunzi uhazili baada ya kunyang'anywa na mshkaji wetu msela wa kitaaa hana lolote boloka tu
Back
Top Bottom